johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana ya IMF ni kwamba inakadiriwa uchumi wa funia utasinyaa kwa 5% ndani ya miaka miwili ijayo tofauti na makisio ya awali ya 2%.
Imeelezwa pia kutakuwa na upungufu mkubwa wa ajira Afrika na duniani kwa ujumla.
Ombi langu niwaombe viongozi wote wa Upinzani akiwemo Mh. Mbowe, Mh Zitto na Mh Rungwe wamuunge mkono Rais Magufuli ili aweze kutuvusha katika mdororo ujao wa uchumi.
Tanzania tayari kuna tatizo la ajira hivyo endapo litaongezeka pasipo wananchi kupendana na kushirikiana hali itakuwa ngumu kwa wananchi na mbaya kwa wanasiasa.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!