mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Ni kama ChabJecha na CuFbzanzibarKipigo kikali cha Jana😀
Ila Simba wajiandae Yanga tutalipa kwa kuanzia,wasahau ubingwa miaka mitano mfululizo.Huu ndio wa mwisho.Wana Jf, katika matukio hatari na ya kutia hasira, tangia tupate uchumi was kati, tumepata vipigo vya mbwa mwizi viwili chakwanza cha Shilole cha pili cha yanga.
Kipigo cha yanga ndicho kinatisha kwani kilitendeka kwa uwazi, wakati cha Shilole kilikuwa kwa kificho sana mpaka alivyojitoa na kujipambanua kupata mguminza uhakika.
Imeshindikana mpaka miaka 5Ila Simba wajiandae Yanga tutalipa kwa kuanzia,wasahau ubingwa miaka mitano mfululizo.Huu ndio wa mwisho.