Uchumi wa Kati umeenda wapi?

Uchumi wa Kati umeenda wapi?

Ni kweli tuliingia uchumi wa kati wa chini maana tulikidhi vigezo vyao, japo tuliondolewa tena.

Mmejaa chuki tu zisizo na sababu kwa Marehemu, ndio maana hamuogopi kumzushia uongo, acheni Utoto.
Mtu muongo, laghai hasa akiwa mwanasiasa, namchukia kama ukoma.
Nawe unaye amini ujinga huo lazima unafaidika na uongo huo.
 
Ni kweli tuliingia uchumi wa kati wa chini maana tulikidhi vigezo vyao, japo tuliondolewa tena.

Mmejaa chuki tu zisizo na sababu kwa Marehemu, ndio maana hamuogopi kumzushia uongo, acheni Utoto.
Yeye mwenyewe alikuwa mwongo hakuna mfano wake.
Awamu ya tano kila fiksi ilitumika kupumbaza watu, kwa faida za kisiasa
 
Back
Top Bottom