Uchumi wa Kati umeenda wapi?

Uchumi wa Kati umeenda wapi?

Serikali ya Awamu ya tano,ilijipambanua kwa kuchakua data ili kuonyesha mambo yanakwenda vizuri.Ili kuweka kumbukumbu za Serikali sahihi,Ni vema Serikali ya Awamu ya sita,ikafanya mapitio ya taarifa zote ambazo walifanya window dressing,ili kuweka kumbukumbu sawasawa.
Ni usiopingika kuwa Tanzania hutukufika Uchumi wa kati kwa vigezo vyote.
 
Serikali ya Awamu ya tano,ilijipambanua kwa kuchakua data ili kuonyesha mambo yanakwenda vizuri.Ili kuweka kumbukumbu za Serikali sahihi,Ni vema Serikali ya Awamu ya sita,ikafanya mapitio ya taarifa zote ambazo walifanya window dressing,ili kuweka kumbukumbu sawasawa.
Ni usiopingika kuwa Tanzania hutukufika Uchumi wa kati
Serikali ya Awamu ya tano,Samia Akiwa makamu wa Rais, Majaliwa Akiwa Waziri mkuu.
 
Ww ndio fix kwa kuwa hauelewi hata kusoma data za dunia.Waliotangaza kuwa Tanzania ipo uchumi wa chini wa Kati ni World Bank.Sio JPM.JPM alitangaza baada ya wao kuhahinisha hizo data.Iliandikwa mpaka kwenye tovuti zao.Sasa ww unakuja hapa na ID fake unaanza kutudanganya.Unapenda kuanzisha vinyuzi fake,na unajadili uongo tu.Au elimu yako ni ya hapa na pale Kama Kubenea?Yaan inaonekana ww ni mshabiki tu ,ila hauelewi chochote.
Ninyi ndio ile mijitu mijinga mijinga ambayo "Dr" Msukuma anapenda kuwa refer kuwa anaweza kuwaajiri kuhesabu mapato yake ya mabasi.
Hao IMF au WB hujui kuwa walipelekwa Takwimu za kupikwa.
Na ikatengenezwa sheria kumfunga mtu yeyote atakayetoa takwimu zisizopitia serikalini.
Magufuli ni kama alijitekenya mwenyewe kwa takwimu feki alizopeleka huko halafu akafurahia kudanganya tumekuwa uchumi wa kati.
In reality kukua kwa uchumi kuliporomoka toka almost 7% hadi below 4%.
Halafu mijitu mijinga mnafurahia kama nyani aliyekula mahindi mabichi!
 
Ni kweli tuliingia uchumi wa kati wa chini maana tulikidhi vigezo vyao, japo tuliondolewa tena.

Mmejaa chuki tu zisizo na sababu kwa Marehemu, ndio maana hamuogopi kumzushia uongo, acheni Utoto.

Kipindi hiki tutaingia uchumi wa kati juu au zaidi ya hapo kama vigezo vya matunda na asali oganiki ya Wahazabe na mifugo ya Wamasai itaingizwa kutumiwa kwenye kikokoteo..
 
Ninyi ndio ile mijitu mijinga mijinga ambayo "Dr" Msukuma anapenda kuwa refer kuwa anaweza kuwaajiri kuhesabu mapato yake ya mabasi.
Hao IMF au WB hujui kuwa walipelekwa Takwimu za kupikwa.
Na ikatengenezwa sheria kumfunga mtu yeyote atakayetoa takwimu zisizopitia serikalini.
Magufuli ni kama alijitekenya mwenyewe kwa takwimu feki alizopeleka huko halafu akafurahia kudanganya tumekuwa uchumi wa kati.
In reality kukua kwa uchumi kuliporomoka toka almost 7% hadi below 4%.
Halafu mijitu mijinga mnafurahia kama nyani aliyekula mahindi mabichi!
Ww huna uelewa wowote.IMF na World Bank wametoa takwimu zao kwa kutumia paper .Na ww ungepinga kwa kutumia paper.Lakin unakuja hapa JF ukiwa na ID fake ,unabwabwaja uongo.Watu wanakuchora wanakuona ww ni mtu fake.Kama kweli we ni mwelewa wa hizo economics statistics ,andika paper yenye evidence ,ukipinga kilichotangazwa na World Bank.Usilete habari za vichochoroni.
 
Sikuwahi kuwa kinara wa kumtetea, pengine unaota tu.
Kuna mambokweli alifanya vema lakini ubaguzi, ukabila utesaji, utekaji nyara, upendeleo wa eneo, utateteaji maovu hayo?
Tuliwahi kujadili kati yako nami juu yake, na hatimae kuingia mdogo wako 'Masopyakindi' katika mjadala huo.

Siandiki mambo hapa JF kwa sababu ya kuyaandika tu bila kuwa na sababu za kufanya hivyo.
 
Ww ndio fix kwa kuwa hauelewi hata kusoma data za dunia.Waliotangaza kuwa Tanzania ipo uchumi wa chini wa Kati ni World Bank.Sio JPM.JPM alitangaza baada ya wao kuhahinisha hizo data.Iliandikwa mpaka kwenye tovuti zao.Sasa ww unakuja hapa na ID fake unaanza kutudanganya.Unapenda kuanzisha vinyuzi fake,na unajadili uongo tu.Au elimu yako ni ya hapa na pale Kama Kubenea?Yaan inaonekana ww ni mshabiki tu ,ila hauelewi chochote.
Wewe ndie shabiki ambaye huelewi lolote!

Kama una elimu halafu hujui kwamba mwendazake alikuwa na fiksi na takwimu za kupika.. ulienda tu shule...hukupata kuelimika.
 
Tuliwahi kujadili kati yako nami juu yake, na hatimae kuingia mdogo wako 'Masopyakindi' katika mjadala huo.

Siandiki mambo hapa JF kwa sababu ya kuyaandika tu bila kuwa na sababu za kufanya hivyo.
[emoji38][emoji38][emoji38] Halafu kila uzi wa huyu jamaa ni lazima Masopakyindi ajitokeze !
 
Hujajibu hoja, history belongs to the past!
 
Yule mzee alikuwa fiksi sana.
Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
Vitu vingine kama huvijui ni heri kunyamaza! Kwani ulisikia wapi kuwa inchi yenye inamamlaka yakujitangazia kama sasahivi iko uchumi wa kati au wa juu? Si bora ufanye ata utafiti mdogo bas mbona mengine simple sana?
 
Ww huna uelewa wowote.IMF na World Bank wametoa takwimu zao kwa kutumia paper .Na ww ungepinga kwa kutumia paper.Lakin unakuja hapa JF ukiwa na ID fake ,unabwabwaja uongo.Watu wanakuchora wanakuona ww ni mtu fake.Kama kweli we ni mwelewa wa hizo economics statistics ,andika paper yenye evidence ,ukipinga kilichotangazwa na World Bank.Usilete habari za vichochoroni.
Hujaeleza kitu bado.
Sasa sisi wa vichochoroni tunakuumbua ujinga wako.
 
Serikali ya Awamu ya tano,Samia Akiwa makamu wa Rais, Majaliwa Akiwa Waziri mkuu.

Ni kama timu za soccer tuseme Yanga au Simba itokee mchezaji mmoja tu kaondoka iwe hata ni kwa kufikwa na umauti. Halafu unasikia hizo timu zimegeuka gafla zinafanya mambo kama Lipuli au Mlandege. Hapo ndipo wengine tunabaki tunashangaa.
 
Hujajibu hoja, history belongs to the past!
Huna hoja, nitajibu hewa?

Wewe mtu ni kati ya vigeugeu wa ajabu sana humu JF, na kutokana na kusahau kwako au kujifanya hukumbuki kunakufanya udhani kwamba wengine nao ni kama wewe.
Hata historia yako ya uCCM ulishaieleza humu, kuonyesha aina ya watu waliomo ndani ya chama hicho enzi hizi, watu wasioamini na kusimamia chochote maishani mwao.
 
Moja, bado Magufuli alikuwa fiksi na forgere wa facts nyingi tu.Mbili, hatujawahi kuwa uchumi wa kati,
Tatu, licha ya kubwabwaja, hujajibu hoja.
Nne, kama ni kambwa ka Magufuli, umeambiwa na Zito, kazikwe naye Chato.
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Halafu kila uzi wa huyu jamaa ni lazima Masopakyindi ajitokeze !
JF ina bahati mbaya sana ya kuwa na watu kama huyu, na yule mwingine anayejiita 'britannica'. Siku hizi sipotezi muda wangu kusoma takataka za huyo jamaa.
Huyu naye naona nitaacha kupoteza muda wangu kusoma maandishi yake humu.
 
Moja, bado Magufuli alikuwa fiksi na forgere wa facts nyingi tu.Mbili, hatujawahi kuwa uchumi wa kati,
Tatu, licha ya kubwabwaja, hujajibu hoja.
Nne, kama ni kambwa ka Magufuli, umeambiwa na Zito, kazikwe naye Chato.
Sasa angalia ulivyo mpumbavu. Kati yangu na wewe, ni nani aliyekuwa anaimba nyimbo za kumsifu Magufuli humu jukwaani.

Kuonyesha upumbavu zaidi, ni kutoelewa unapoambiwa karibu na watu wote kwenye mada yako hii kuwa siyo Magufuli aliyetangaza hayo unayoyazungumzia hapa. Pamoja na ukichaa wake, yeye hakuwa na njia za kuitangaza Tanzania kuwa katika daraja tofauti. Bado huelewi, kwa sababu wewe ni mpumbavu.
 
JF ina bahati mbaya sana ya kuwa na watu kama huyu, na yule mwingine anayejiita 'britannica'. Siku hizi sipotezi muda wangu kusoma takataka za huyo jamaa.
Huyu naye naona nitaacha kupoteza muda wangu kusoma maandishi yake humu.
Pole sana.
Stupid people like you are, discuss people, not ideas.
 
Sasa angalia ulivyo mpumbavu. Kati yangu na wewe, ni nani aliyekuwa anaimba nyimbo za kumsifu Magufuli humu jukwaani.

Kuonyesha upumbavu zaidi, ni kutoelewa unapoambiwa karibu na watu wote kwenye mada yako hii kuwa siyo Magufuli aliyetangaza hayo unayoyazungumzia hapa. Pamoja na ukichaa wake, yeye hakuwa na njia za kuitangaza Tanzania kuwa katika daraja tofauti. Bado huelewi, kwa sababu wewe ni mpumbavu.
Unarudia line zile zile kama santuri iliyoishiwa sindano na inarudia mstari ule ule.
Magufuli si baba yagu na mimi si Sukuma gang kama ulivyo.
Akikosea tunamlima kwa kwenda mbele.
Resorting to negative language inaonyesha not only how stupid you are, lakini na kufilisika ideas.
 
Back
Top Bottom