Nilipojadili nawe wakati ule hadi ukanieleza uCCM wako nilikuona kama mtu mwenye akili kidogo kichwani, kumbe ni mtu 'bogus' kabisa!
Waziri wa Ujenzi chini ya Magufuli alipowafungia mirija yenu, ukawa unapayuka hapa ukumbini afukuzwe kazi. Waziri huyo huyo chini ya Samia unamwimbia nyimbo za sifa kama mtu ambaye hujawahi kumsuta kwa lolote.
Mtu mwenye akili za namna hii, utalalamika vipi unapoambiwa kuwa wewe ni mpumbavu?
Sasa kama hutaki nikuone kama kichaa fulani, nionyeshe maneno yoyote ambayo niliwahi kuyatumia humu jukwaani yanayohalalisha mimi niwe "sukumagang" kama ulivyofanya hapo juu.