Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Fact moja katika somo la uchumi ni kwamba nchi zilizoendelea kiuchumi, sector ya ukulima huwa ni asilimia ndogo sana ya uchumi wao. Nchi nyingi za magharibi, sector ya agriculture ni takriban asilimia tano tu yaani 5%. Huku Afrika unakuta nchi zetu ni mbovu na hovyo kabisa maana unakuta kuna nchi ambayo sector ya ukulima ni 40% ya uchumi wa nchi. Hii ni ishara tosha kwamba nchi kama hizi bado zipo nyuma sana kimaendeleo. Sector ya agriculture ni muhimu ila hii ya Afrika huwa haina value addition, tunauza mazao yakiwa bado raw bila kuyaprocess kwa hivyo mapato kwa wakulima ni madogo sana. Mapato kwa sector ya ukulima ni ndogo sana. Sector ya ukulima inahujumu na kuendeleza umasikini hapa Afrika maana mapato ni madogo mno kwa sababu ya low value addition and low technology use. Kwa hivyo tukumbatie sector zingine za uchumi maana hizo ndizo zina mapato ya juu kushinda sector ya ukulima. Sector kama finance, real estate au transportation zina income ya hali ya juu ukilinganisha na primitive agricultural practices za Waafrika za low technology use, no value-addition, poor seed choice, no fertilizer or poor quality fertilizer use e.t.c. Sector ya agriculture bado ni muhimu lakini tuiwachie mabwenyenye wanaoweza kuafford kununua matractors na wanaomiliki shamba kubwa kubwa maana wao ndio wanaoweza kutengeneza faida katika sector hii.
Kenya imebadilisha structure ya uchumi wetu. Agriculture ilikuwa 32% of Kenya's Gdp kwa muda mrefu ila sasa Agriculture ni 21% of Kenya's Gdp. Yaani kwa kiswahili, sector ya kilimo ilikuwa 1/3 ya uchumi wa Kenya ila baada ya kurebase uchumi, sasa sector ya kilimo ni 1/5 ya uchumi wa Kenya. Kenya inaanza kuwacha kutegemea kilimo kwa sana. Tunawacha kuwa typical primitive agrarian economy proliferating the African continent.
Cheki hii screen shot ya hio table inayoonyesha jinsi agriculture imepoteza nafasi katika uchumi wa Kenya. Nimeitoa KNBS kwa report ya rebasing of the economy.