Uchumi wa Kenya umewacha kuwa wa kishambashamba, sasa unaendelea kuwa more developed

Yes we can't eat money but money can buy anything including food.
How can you buy what is unavailable ?

Have you been in a Country with Wars and Chaos, people return on barter and bread becomes worth more than any amount of Gold let alone this FIAT Currency....

In the end its all about food on the table..., and demand, supply and scarcity when push comes to shove you might end up starving with your bag full of money.
 
Fact moja katika somo la uchumi ni kwamba nchi zilizoendelea kiuchumi, sector ya ukulima huwa ni asilimia ndogo sana ya uchumi wao. Nchi nyingi za magharibi, sector ya agriculture ni takriban asilimia tano tu yaani 5%. Huku Afrika unakuta nchi zetu ni mbovu na hovyo kabisa maana unakuta kuna nchi ambayo sector ya ukulima ni 40% ya uchumi wa nchi. Hii ni ishara tosha kwamba nchi kama hizi bado zipo nyuma sana kimaendeleo. Sector ya agriculture ni muhimu ila hii ya Afrika huwa haina value addition, tunauza mazao yakiwa bado raw bila kuyaprocess kwa hivyo mapato kwa wakulima ni madogo sana. Mapato kwa sector ya ukulima ni ndogo sana. Sector ya ukulima inahujumu na kuendeleza umasikini hapa Afrika maana mapato ni madogo mno kwa sababu ya low value addition and low technology use. Kwa hivyo tukumbatie sector zingine za uchumi maana hizo ndizo zina mapato ya juu kushinda sector ya ukulima. Sector kama finance, real estate au transportation zina income ya hali ya juu ukilinganisha na primitive agricultural practices za Waafrika za low technology use, no value-addition, poor seed choice, no fertilizer or poor quality fertilizer use e.t.c. Sector ya agriculture bado ni muhimu lakini tuiwachie mabwenyenye wanaoweza kuafford kununua matractors na wanaomiliki shamba kubwa kubwa maana wao ndio wanaoweza kutengeneza faida katika sector hii.

Kenya imebadilisha structure ya uchumi wetu. Agriculture ilikuwa 32% of Kenya's Gdp kwa muda mrefu ila sasa Agriculture ni 21% of Kenya's Gdp. Yaani kwa kiswahili, sector ya kilimo ilikuwa 1/3 ya uchumi wa Kenya ila baada ya kurebase uchumi, sasa sector ya kilimo ni 1/5 ya uchumi wa Kenya. Kenya inaanza kuwacha kutegemea kilimo kwa sana. Tunawacha kuwa typical primitive agrarian economy proliferating the African continent.

Cheki hii screen shot ya hio table inayoonyesha jinsi agriculture imepoteza nafasi katika uchumi wa Kenya. Nimeitoa KNBS kwa report ya rebasing of the economy.

View attachment 1931504
Umeongea ukweli mtu mk254

Umeongea ukweli mtupu kuhusu kilimo...kwa africa bado sana..

Ila naomba nikusahihishe...sio tunawacha ni tunaacha...asnte
 
How can you buy what is unavailable ?

Have you been in a Country with Wars and Chaos, people return on barter and bread becomes worth more than any amount of Gold let alone this FIAT Currency....

In the end its all about food on the table..., and demand, supply and scarcity when push comes to shove you might end up starving with your bag full of money.
Not true. Even during world war two desert countries like Israel, Egypt, Morocco, Libya, Tunisia were still importing food and eating. Remember Germany fought a very big war against the British and Americans in North Africa. General Rommel with his German tanks fought against the allies for a long time in the deserts of North Africa. Nobody starved in North Africa because of food shortage. Nowadays we have warehousing and cold storage facilities, food can be preserved for upto one year in good condition. Also food will always be imported by desert countries come rain come sunshine, come war come peace. These countries have no option but to import food. Small countries like the Vatican, Montenegro, Cyprus, Monaco don't have enough land to do proper agriculture. So not every country can afford to grow their own food and some of these countries are very wealthy by the way. Importing food is an easier option so that they can focuss on other things. You know that Kenya is 75% semi-arid so give us a break.
 
Mkuu let's get back to Basics; from Wealthy of the Nations Adam Smith said and I quote.....

It is the maxim of every prudent master of a family, never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy.

Of course ni ulimbukeni kujaribu kufanya kile ambacho unaweza kununua kwa bei rahisi kuliko kutengeneza..., ila hio haipunguzi wala kuondoa ukweli kwamba Food Industry is the most important na among the 10 biggest industries in the world...

Pia kumbuka production / uzalishaji unaleta ajira kwa wananchi wa nchi kwahio hata kama ukulima huo hauongezi importation ila kwa kulima nyumbani na kujilisha mkulima huyo ambaye huenda angekosa la kufanya na kuwa kibaka atapata hata pesa ya kununua hicho chochote ambacho wewe ndio unaona kinafaa (buying power)...

By the way unajua cost of cold storage na unajua kwamba cold storage costs money ? which eventually adds costs of production ? Na pia unongelea dunia kwa mafungu na sio a unit..., hicho chakula must come from somewhere..., wote wakisema kilimo ni so old fashioned wakaacha kulima unadhani hizo storage facilities zitaweka chakula kutoka Mars ?
 
Haha you have good points though. By the way you are right that food is one of the most important industries in any economy. Hio nakubali hata nilikuwa nishasema hivyo hapo awali. Lakini kilimo cha Kiafrika ni kilimo cha ujinga, unakuta mkulima na familia yake watoto wanane na wake wawili kila siku wanaamka na kuenda shambani, kumbuka wanamiliki shamba ndogo tuseme ekari moja tu, kisha wanatumia mbegu mbaya ambayo haina mazao mengi, kisha aidha hawatumii fertilizer kabisa au wanatumia fertilizer mbaya ambayo haiambatani na mazao wanayokuza na aina ya udongo wanayolima, hawatumii trekta wala irrigation farming, wao wanangojea mvua, hawanyunyizii mimea dawa ya kuuwa wadudu na kuzuia magonjwa, wao wanategemea Mwenyezi Mungu alinde mimea yao. Mwisho wa siku wanavuna gunia kumi katika ekari moja na baada ya kuuza kwa bei ya kutupa kwa sababu hawawezi kuaccess international market, wanauza gunia moja kwa bei ya $15, kwa hivyo gunia kumi wanapata $150. Sasa hii ni baada ya kazi ya miezi sita ya kulima, kupanda, kunyunyizia maji na kadhalika. Kumbuka zaidi ya mazao nusu yalipotelea kwa magonjwa na wadudu kuyala mazao hayo. Kumbuka walitumia mbegu mbaya, kumbuka hawanyunyizii maji kila siku bali wanategemea mvua ambayo hawajui inakuja lini. Sasa hio $150 dollars inaweza kulisha familia ya watu kumi kwa muda gani? Sasa linganisha na Mkulima mmoja pekee huko Marekani ambaye ana ekari ishirini na trekta, anapanda mbegu nzuri iliyofanyiwa utafiti na inazaa gunia sitini kwa kila ekari, ananyunyiza dawa ya kuzuia magonjwa na wadudu, ananyunyizia mimea maji kwa kutumia drip irrigation. Wakati wa kuvuna anavuna gunia sitini kwa kila ekari. Sasa linganisha huyu jamaa anayevuna gunia sitini kwa kila ekari na kazi ameifanya yeye pekee kwa kutumia trakta na yule Muafrika anayevuna gunia kumi kwa kila ekari na kazi ameifanya na familia yake yote ya watu kumi. Mbaya zaidi, huyu Mkulima kutoka America amegundua kwamba bei ya mahindi kwenye soko kwa sasa upo chini sana na hataweza kuyauza, lakini kwa sababu tayari amejenga ghala kubwa na la kisasa basi anaamua kukausha mahindi na kuyahifadhi kwenye ghala lake na kungoja uhaba wa mahindi utokee ili bei iongezeke ili aweze kuuza kwa bei ya juu. Mwisho wa siku huyu mkulima anatengeneza faida nono hata kushinda mwizi aliyeiba pesa kwenye benki. Huyu Muafrika wetu hajajenga ghala la mahindi kwa hivyo hana budi ila kuuza mahindi kwa bei ya kutupa kwa maana akibaki na mahindi yataharibika na aflatoxin au moulds au rodents yaani panya na weavils na wadudu wengine watayala mahindi na kuyaharibu. Naomba uelewe point yangu kuhusu productivity. African agriculture has low productivity and low returns hence inaendelea kukoleza umasikini hapa Afrika.
Cc joto la jiwe
MK254
 
Sisi uchumi wetu hautegemei kilimo kwa sana kama wenu. Nyie endeleeni kulima sisi tutanunua mazao kutoka kwenu. Sisi tuko mbioni kukuza sector zenye mapato ya hali ya juu kama finance, transportation, real estate, ICT na kadhalika. We are becoming more developed.
Changamoto kubwa ni kwamba asilimia ndogo sana ya watu wana uwezo wa kununua chakula, wakati walio wengi hawana ardhi nzuri ya kilimo, hawawezi kupata ajira ya kipato cha uhakika na wanaishi kwenye umaskini mkubwa.
 
Fact moja katika somo la uchumi ni kwamba nchi zilizoendelea kiuchumi, sector ya ukulima huwa ni asilimia ndogo sana ya uchumi wao. Nchi nyingi za magharibi, sector ya agriculture ni takriban asilimia tano tu yaani 5%. Huku Afrika unakuta nchi zetu ni mbovu na hovyo kabisa maana unakuta kuna nchi ambayo sector ya ukulima ni 40% ya uchumi wa nchi. Hii ni ishara tosha kwamba nchi kama hizi bado zipo nyuma sana kimaendeleo. Sector ya agriculture ni muhimu ila hii ya Afrika huwa haina value addition, tunauza mazao yakiwa bado raw bila kuyaprocess kwa hivyo mapato kwa wakulima ni madogo sana. Mapato kwa sector ya ukulima ni ndogo sana. Sector ya ukulima inahujumu na kuendeleza umasikini hapa Afrika maana mapato ni madogo mno kwa sababu ya low value addition and low technology use. Kwa hivyo tukumbatie sector zingine za uchumi maana hizo ndizo zina mapato ya juu kushinda sector ya ukulima. Sector kama finance, real estate au transportation zina income ya hali ya juu ukilinganisha na primitive agricultural practices za Waafrika za low technology use, no value-addition, poor seed choice, no fertilizer or poor quality fertilizer use e.t.c. Sector ya agriculture bado ni muhimu lakini tuiwachie mabwenyenye wanaoweza kuafford kununua matractors na wanaomiliki shamba kubwa kubwa maana wao ndio wanaoweza kutengeneza faida katika sector hii.

Kenya imebadilisha structure ya uchumi wetu. Agriculture ilikuwa 32% of Kenya's Gdp kwa muda mrefu ila sasa Agriculture ni 21% of Kenya's Gdp. Yaani kwa kiswahili, sector ya kilimo ilikuwa 1/3 ya uchumi wa Kenya ila baada ya kurebase uchumi, sasa sector ya kilimo ni 1/5 ya uchumi wa Kenya. Kenya inaanza kuwacha kutegemea kilimo kwa sana. Tunawacha kuwa typical primitive agrarian economy proliferating the African continent.

Cheki hii screen shot ya hio table inayoonyesha jinsi agriculture imepoteza nafasi katika uchumi wa Kenya. Nimeitoa KNBS kwa report ya rebasing of the economy.

View attachment 1931504
Mbona figures za gdp at current prices hapo chini umezikata [emoji23]
 
Sisi uchumi wetu hautegemei kilimo kwa sana kama wenu. Nyie endeleeni kulima sisi tutanunua mazao kutoka kwenu. Sisi tuko mbioni kukuza sector zenye mapato ya hali ya juu kama finance, transportation, real estate, ICT na kadhalika. We are becoming more developed.
Tanzania is the most diversified economy in East Africa haitegemei kilimo tuu na contribution ya Agriculture has always been under 30%
 
Really? leta economic structure yenu tuone.
 
Fact moja katika somo la uchumi ni kwamba nchi zilizoendelea kiuchumi, sector ya ukulima huwa ni asilimia ndogo sana ya uchumi wao. Nchi nyingi za magharibi, sector ya agriculture ni takriban asilimia tano tu yaani 5%. Huku Afrika unakuta nchi zetu ni mbovu na hovyo kabisa maana unakuta kuna nchi ambayo sector ya ukulima ni 40% ya uchumi wa nchi. Hii ni ishara tosha kwamba nchi kama hizi bado zipo nyuma sana kimaendeleo. Sector ya agriculture ni muhimu ila hii ya Afrika huwa haina value addition, tunauza mazao yakiwa bado raw bila kuyaprocess kwa hivyo mapato kwa wakulima ni madogo sana. Mapato kwa sector ya ukulima ni ndogo sana. Sector ya ukulima inahujumu na kuendeleza umasikini hapa Afrika maana mapato ni madogo mno kwa sababu ya low value addition and low technology use. Kwa hivyo tukumbatie sector zingine za uchumi maana hizo ndizo zina mapato ya juu kushinda sector ya ukulima. Sector kama finance, real estate au transportation zina income ya hali ya juu ukilinganisha na primitive agricultural practices za Waafrika za low technology use, no value-addition, poor seed choice, no fertilizer or poor quality fertilizer use e.t.c. Sector ya agriculture bado ni muhimu lakini tuiwachie mabwenyenye wanaoweza kuafford kununua matractors na wanaomiliki shamba kubwa kubwa maana wao ndio wanaoweza kutengeneza faida katika sector hii.

Kenya imebadilisha structure ya uchumi wetu. Agriculture ilikuwa 32% of Kenya's Gdp kwa muda mrefu ila sasa Agriculture ni 21% of Kenya's Gdp. Yaani kwa kiswahili, sector ya kilimo ilikuwa 1/3 ya uchumi wa Kenya ila baada ya kurebase uchumi, sasa sector ya kilimo ni 1/5 ya uchumi wa Kenya. Kenya inaanza kuwacha kutegemea kilimo kwa sana. Tunawacha kuwa typical primitive agrarian economy proliferating the African continent.

Cheki hii screen shot ya hio table inayoonyesha jinsi agriculture imepoteza nafasi katika uchumi wa Kenya. Nimeitoa KNBS kwa report ya rebasing of the economy.

View attachment 1931504
Ivi unatumia ujinga gani kufikiria...yani unaona ni sahihi kuachana na kilimo eti kisa mnauza raw material ? Ww sema akili ya kufanya wakunya mekosa ndio mana rais wenu uunye katangaza janga la njaa kuwa la kitaifa ...na uko apa kusifia ujinga
Kilimo kinatakiwa kuongezewa tija ili kuleta positive result na sio kujifany mjing na kukidharau na kuona akina tija kisa mashamba yote yenye rutuba kwenu wageni wamepanda maua...nyie mnakula nyasi wajinga sana nyie
 
Ni kweli mkuu maana hata kwa Tanzania kwa sasa imekuwa chini ya 30% huku service sector ikiendelea kukua kwa kasi

All in all kwa nchi za kiafrika, tukisema tuachane na kilimo zaidi sidhani kama tutaweza kuhimili inflated prices kutoka developed worlds in case of shortage

Vitu vingi tu bado tupo dependent na kwangu naona ni risk kubwa putting our food security into their hands..

Mind You economic growth doesnt translate into economic development,

will there be any form of economic development if our national incomes 'll be highly contributed by the products which do not promote "citizens welfare"

the main issue iwe diversification of our economies but also comperative advantage in whatever a country may opt to produce
Sioni na wala sioni tija ya kufurahia kushuka kwa asilimia za mchango wa kilimo kwenye GDP tunapaswa kutafuta njia ya kuongeza effectv yake
 
Kushuka kwa mchango wake kwa pato la taifa haina maana kuwa imeshuka kiuzalishaji ila inamaanisha kuwa sekta nyingine zinakua kiasi cha kuchangia zaidi kitu ambacho ni kizuri.. Kutegemea sekta moja napo ni risk, kukitokea mtikisiko nchi inayumba

mfano nchi inayotegemea utalii unadhani watakuwa na hali gani katika janga la covid-19 lakini vipi wakiwa vizuri pia kwenye sekta zingine. Maisha si yanaendelea !!

hivyo ndo nchi pia inavyokuwa pale inapotegemea sekta moja au nyingi
 
Eyce wachana na huyo Mlazy ambaye haelewi basic economic concepts.
 
Hongereni majirani.

Sasa hivi mnalima Kwa kutumia kompyuta.

Hapa nina zaidi ya miaka ishirini sijategemea shamba la urithi kwa chochote kule kijijini, na wanangu hapa mjini wanakula hadi kuvimbiwa.
Kwanza huko kijijini nakwenda tu maana ndiko walikozikwa mababu zangu na husaidia tu kuniunganisha na ukoo, lakini sio eti nikae na kuwaza mazao ya huko shambani, yaani shamba langu nimemuachia baba mdogo awe analima hadi siku nitafikiria nini cha kufanya nalo.

kazi zangu mjini zimeniwezesha nikae maisha niliyokusudia, na kama ni chakula kunao wanaofanya kilimo biashara ambao tunanunua kutoka kwao au tunaagiza nje ya nchi.
Miaka ya kitambo ndio ulikua unakuta kijana anawaza kuoa huko huko kijijini anunue ng'ombe, alime hapo hapo kwenye shamba la urithi na aendelee kuganda huko huko.
 
Safi sana.
 
That's nonsense kama hari ya wa Kenya wa kawaida inaendelea kua mbaya kila ukicha na wengi wanakufa kwa njaa kwasababu ya umasikini ulio kithiri. Income disparity ya Kenya iko juu kuliko nchi yoyote Africa mashariki, wanao faidika na index zenu hizo ni wa hindi, wazungu na Kenyan politician ni kama 2% ya Wakenya wote. 98% ya wakenya hari yao ya uchumi ni mbaya wakipewa nafasi kuhamia TZ wako tayari ili kupata unafuu wa maisha.
Ndio maaan mnatutegemea kwa chakula
 
Hata mimi naona kwamba more developed inakuwa hivi 😆😆😆😆

Screenshot_20210927-095928.png
 
Back
Top Bottom