Uchumi wa Kenya upo ICU: Benki ya Taifa ya Kenya imetangaza kupunguza wafanyakazi 150

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
Benki ya Taifa ya Kenya imetangaza kupunguza wafanyakazi 150

Leo January 30, 2018 Benki ya Taifa ya Kenya imetangaza kupunguza wafanyakazi 150 wakieleza kuwa nia ya kufanya zoezi hilo ni kupunguza gharama za kujiendesha.

Benki hiyo imejipanga kupunguza wafanyakazi wenye miaka zaidi ya 35 na ambao wamefanya kazi zaidi ya miaka 5 na kuruhusiwa kuchukua mafao yao mapema kwa hiari.

Inaelezwa kuwa hii ni mara ya pili katika kipindi cha miaka mitatu kwa Benki hii kupunguza wafanyakazi wengi ambapo mwaka 2014 ilipunguza wafanyakazi 200.

Hatahivyo uongozi wa benki hiyo umeamua kuongeza kiwango cha fedha kitakachotolewa kutokana na wao kuachishwa kazi kwa wafanyakazi ambao wana miaka zaidi ya 50. Benki itawalipa mshahara wa miezi miwili kwa mwaka mzima, kwa miaka inayobakia wao kutimiza umri wa kustaafu ambao ni miaka 60.
 
Down-sizing and staff restructuring is a normal banking industry practice nowadays. With the advent of electronic banking and outsourcing most banks are doing that. Ati uchumi wa Kenya upo ICU! Wewe ndio umekua chief economic analyst ukanda huu? First check the ranking of National Bank among Kenya's financial institution before puffing and ranting on here.
 
Unapofanya outsourcing first priority wanapewa watu walio kua wanafanya hiyo kazi kabla, watu wana hamishwa kwenye kampuni iliyo pewa tender, benefits zina eza kupungua au kubaki vile vile ila kwa case hii hawajaongelea hilo swala. This is merely a move to cut down cost nothing else.

Downsizing haijawahi kua normal practice ya banking industry. Ukiona downsizing is taking place jua numbers hazijakaa sawa. Hakuna technology mpya iliyo kuja lately kwenye banking industry inaeza kusabibisha kupunguzwa kazi watu kiasi hiko.
Tuache siasa saa zingine!
 
Why contradict yourself? Downsizing by staff or branch cuts is cost cutting in itself. Unless it hasn't caught up in Tz,Kenyan banks Equity/KCB/Co-op/et al are outsourcing most of over-the-counter services to independent agents and as a result reducing their employees without compromising their operations' efficiency. One should view this case of National Bank through those lens.
 
Wanapunguza gharama za uendeshaji which is good idea for the sake of any investment growth!hata wewe ungependa siku moja uweze kupunguza matumizi yako ya kila siku huku ukijibidiisha zaidi kuongeza kipato!is it?
 
Hivi vitu vinapofanywa na institution ya kitaifa kama hii inakuwa na maana mbili zenye kukinzana na zote ni muhimu kwa nchi, kupunguza wafanyakazi maana yake ni kupunguza gharama za uendeshaji hivyo kuongeza faida, lakini upande mwengine inapunguza ajira, jambo ambalo sirikali inapigania kwa juhudu zote kutengeneza na kuzalisha ajira kwa wananchi wake, ni jambo la kushangaza kama serikali inahimiza private sector kutengeneza ajira nyingi lakini serikali yenyewe inaendelea kupunguza wafanyakazi, haileti maana wala haipendezi.
 
Benki ya Taifa ya Kenya imetangaza kupunguza wafanyakazi 150

Leo January 30, 2018 Benki ya Taifa ya Kenya imetangaza kupunguza wafanyakazi 150 wakieleza kuwa nia ya kufanya zoezi hilo ni kupunguza gharama za kujiendesha.

Benki hiyo imejipanga kupunguza wafanyakazi wenye miaka zaidi ya 35 na ambao wamefanya kazi zaidi ya miaka 5 na kuruhusiwa kuchukua mafao yao mapema kwa hiari.

Inaelezwa kuwa hii ni mara ya pili katika kipindi cha miaka mitatu kwa Benki hii kupunguza wafanyakazi wengi ambapo mwaka 2014 ilipunguza wafanyakazi 200.

Hatahivyo uongozi wa benki hiyo umeamua kuongeza kiwango cha fedha kitakachotolewa kutokana na wao kuachishwa kazi kwa wafanyakazi ambao wana miaka zaidi ya 50. Benki itawalipa mshahara wa miezi miwili kwa mwaka mzima, kwa miaka inayobakia wao kutimiza umri wa kustaafu ambao ni miaka 60.
We n mwiko kuongelea vibaya nchi pendwa ya chama cha domoghasia
 
Utaona wasio wakenya watakavyotoka povu
 
Kwenye swala la uchumi wa Kenya kushuka nikutokana na uchaguzi, hiyo utokea kwenye kila nchi duniani but am sure wata recover. My advice to Uhuru and Odinga as two Kenyan presidents nikwamba wabadili mfumo wakuiyongoza nchi.

The problem with Kenya its not the Hardware(roads and buildings) but the Software( government administration) which are intangible and busy corrupting and embezzling funds of the country. So cutting down the government administration and workers is the best thing to do during this critical time. Big up Bank of Kenya

Written by:
Donald Trump to shithole country
 
Why contradict yourself? Downsizing by staff or branch cuts is cost cutting in itself. Unless it hasn't caught up in Tz,Kenyan banks Equity/KCB/Co-op/et al are outsourcing most of over-the-counter services to independent agents and as a result reducing their employees without compromising their operations' efficiency. One should view this case of National Bank through those lens.
I have seen how outsourcing works first hand, twice in different companies. Ndyo maana nika ielezea vile. In my opinion outsourcing ni mfumo ambao ni positive zaidi kwa employers.

In my experience outsourcing happens when profit margins are shaking. Its so sad that it works at the expense of employees. So its a good move for your bank books but it is alarming to the economy, considering this aint the first time in a small duration.
 
Hivi vitu vinapofanywa na institution ya kitaifa kama hii inakuwa na maana mbili zenye kukinzana na zote ni muhimu kwa nchi, kupunguza wafanyakazi maana yake ni kupunguza gharama za uendeshaji hivyo kuongeza faida, lakini upande mwengine inapunguza ajira, jambo ambalo sirikali inapigania kwa juhudu zote kutengeneza na kuzalisha ajira kwa wananchi wake, ni jambo la kushangaza kama serikali inahimiza private sector kutengeneza ajira nyingi lakini serikali yenyewe inaendelea kupunguza wafanyakazi, haileti maana wala haipendezi.

Serekali kazi yake kuu ni kuunda mazingira bora ili biashara binafsi kunawiri na ajira kupatikana hata kwa wingi. Sio ushauri bora serikali kuajiri halaiki ya watu kwa sababu productivity ya watumishi wa serikali kokote kule huwa chini na hii ni uharibifu wa rasmali na ujuzi kutotumika vizuri.

Such outsourcing of bank services to agencies end up creating even more job opportunities than those laid off. Mfano hapa wa agency outsourcing in Kenya.

mpesa-e1494924206429-1024x768.jpg

AAEAAQAAAAAAAALOAAAAJDU0NGM3MTYyLTFkNDQtNDIyYS1iZTA5LTAwNzM3ZjU4Njc2Zg.png

KCB%2BRwanda.jpg
 
Tatizo moja ninaloliona kwa wakenya wengi ni kwamba uwezo wenu wa kuelewa mambo ni mdogo sana, bahati mbaya sana hamjui kwamba uwezo wenu ni mdogo, huwa mnaongea sana hata kama vitu hamvijui, mimi nilifanya kazi hapo Nairobi, karibu wakenya wote mpo hivyo, ninyi mnajifanya mnajua na mnataka kuonekana mnajua, lakini hampendi kujifunza badala yake huwa mnazungumza vile akili zenu zinavyowatuma.

Duniani kote muajiri mkuu ni serikali, ndiyo yenye jukumu la kutengeneza ajira nyingi, wewe unachanganya kati ya kufanya biashara na kutengeneza ajira, serikali haipaswi sana kufanya biashara, badala yake inapaswa kuweka mazingira mazuri ya biashara, ajira sio lazima ziwe katika sector ya biashara, sector ya elimu, Afya, polisi, magereza, jeshi, mahakama, na huduma zingine za kijamii zinazomilikiwa na serikali, zinatoa ajira nyingi sana kupita hata zinazotolewa na formal sector.
 
Baki hapo na ujuzi wako. Nijualo ni kwamba serikali licha ya kuwa na idadi kubwa ya watumishi wa umma ili kutumikia wananchi sio jukumu lake kuajiri halaiki ili kupunguza ukosefu wa ajira! FYI, things have changed in public civil service since last you ever worked in Nairobi. Starting this year over 50,000 govt staff are to be laid off to enhance productivity. The would be laid-offs are being trained to delve in entrepreneurship and in-turn creating more jobs.
Tunaelewa tunavyosema,mazingira yetu ndio tofauti na yenu!
 
Eeh sina machungu kaka. Hali ya Wakenya isikupatie blood pressure. We will be just fine. Hio paragraph ya kwanza haikuhitajika.
 
Baki hapo na ujuzi wako. Nijualo ni kwamba serikali licha ya kuwa na idadi kubwa ya watumishi wa umma ili kutumikia wananchi sio jukumu lake kuajiri halaiki ili kupunguza ukosefu wa ajira! FYI, things have changed in public civil service since last you ever worked in Nairobi. Starting this year over 50,000 govt staff are to be laid off to enhance productivity. The would be laid-offs are being trained to delve in entrepreneurship and in-turn creating more jobs.
Tunaelewa tunavyosema,mazingira yetu ndio tofauti na yenu!
Wala usijaribu kunidanganya, hapo Kenya, Africa na hasa kwenye emerging economies, bado serikali atabaki kuwa muajiri mkuu kwasababu bado private sector hasa manufacturing sector ambayo inaajiri watu wengi haikui kwa kasi kuendana na idadi ya watu wanaotafuta kazi. Ukisema serikali yenu inapunguza watumishi ili kuongeza productivity ni dalili hujui kitu kuhusu serikali hata kidogo, kadri miaka inavyozidi kwenda na idadi ya watu kuongezeka maana yake ni kwamba serikali itaongeza idadi ya shule, hospitals, mahakama, polisi, huduma za maji, umeme, magereza, wataalamu wa kilimo vijijini, wataalamu wa mifugo, wote hao ni watu ambao serikali inapaswa kuajiri, kama mkijaribu kupunguza ajira za serikali mtwjuta litakalowakuta kama taifa"unemployed youth is unexploded bomb"
 
Benki ya Taifa ya Kenya imetangaza kupunguza wafanyakazi 150

Leo January 30, 2018 Benki ya Taifa ya Kenya imetangaza kupunguza wafanyakazi 150 wakieleza kuwa nia ya kufanya zoezi hilo ni kupunguza gharama za kujiendesha.

Benki hiyo imejipanga kupunguza wafanyakazi wenye miaka zaidi ya 35 na ambao wamefanya kazi zaidi ya miaka 5 na kuruhusiwa kuchukua mafao yao mapema kwa hiari.

Inaelezwa kuwa hii ni mara ya pili katika kipindi cha miaka mitatu kwa Benki hii kupunguza wafanyakazi wengi ambapo mwaka 2014 ilipunguza wafanyakazi 200.

Hatahivyo uongozi wa benki hiyo umeamua kuongeza kiwango cha fedha kitakachotolewa kutokana na wao kuachishwa kazi kwa wafanyakazi ambao wana miaka zaidi ya 50. Benki itawalipa mshahara wa miezi miwili kwa mwaka mzima, kwa miaka inayobakia wao kutimiza umri wa kustaafu ambao ni miaka 60.

Wengine kweli sijui ni kutojitambua au ni ujinga huu utokanao na KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA pasipo KUFIKIRI, hivi tumeshajiuliza TANZANIA tuko salama, au tunashadadia ya Nyumba ya jirani tu?
 
Wewe ni taahira nini.? Hii ni Habari kama habari nyingine ni wapi pameshadadiwa? Kwani ni uongo kwamba hao wafanyakazi hawajaachishwa kazi? Kuachisha wafanyakazi kazi ni ishara ya ukuaji wa uchumi kwa akili yako?
 
Wanapunguza gharama za uendeshaji which is good idea for the sake of any investment growth!hata wewe ungependa siku moja uweze kupunguza matumizi yako ya kila siku huku ukijibidiisha zaidi kuongeza kipato!is it?
Wakati wanawaajiri hawakujua hilo? Eti good idea kwa investment growth? Wewe endelea na fani yako unayoimudu sio kuongelea vitu vilivyokuzidi uwezo, tokea lini Kuachisha wafanyakazi kazi ni good move ya biashara? Kwahiyo ajira sio kipaumbele, unemployment kuwa kubwa ni good idea vilevile kwa mujibu wa ulichokiandika.

Ingekua imetokea Tanzania ungesema ni good idea? Nyumbu mna kazi sana
 
Wewe ni taahira nini.? Hii ni Habari kama habari nyingine ni wapi pameshadadiwa? Kwani ni uongo kwamba hao wafanyakazi hawajaachishwa kazi? Kuachisha wafanyakazi kazi ni ishara ya ukuaji wa uchumi kwa akili yako?

Shukrani sana kwa majibu yako ila wewe na aliyeanzisha post hamjapishana sana uwezo weno wa kujenga hoja ndio maana nasema kupasishwa kwa "KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA " kama kigezo rasmi cha kuwa na weledi bila kuwa na uwezo wa " KUFIKIRI" ni tatizo litakalo chukua miongo kadhaa kulifuta by the way kwa Tanzania mpaka sasa ni wafanya kazi wangapi wameachishwa kutokana na mdororo wa kimya kimya wa ukuaji wa uchumi? ni viwanda vingapi vimepunguza uzalishajia na kupunguza wafanyakazi mpaka sasa ndani na nchi yetu ukitaka kujenga hoja FIKIRI njoo na data si kutukana kutakupa werevu wakuonekana UJUVI wa unalosema kumbe nawe ni walewale wanaojua " KUSOMA NA KUANDIKA BILA KUFIKIRI" JENGENI NYUMBA YENU INAMOMONYOKA ACHANENI NA MAJIRINI " HANGAIKENI NA SHIDA ZENU KWANZA, Madawati bado, madarasa bado ya Tembe halafu mgombea Urais anasema Atatoa Laptop kwa kila mwalimu kwasababu tu nyumba ya jirani naye alijinasibu na ameweza sisi? Mthalani wenzetu wameweza hili :-
upload_2018-2-1_11-15-45.png
Sisi tumefanya nini au Tunasubiri tumalize kununua WAVULANA wote na uchaguzi wa ndani? jamani kujua KUSOMA NA KUANDIKA NI HATUA YA KWANZA ILA MSISAHAU KUFIKIRI NI KWA MUHIMU SANA SANA especially kwa MAFWAFWA KAMA WEWE NA WENZAKO
 
Attachments

  • upload_2018-2-1_11-15-36.png
    upload_2018-2-1_11-15-36.png
    13.6 KB · Views: 29
Shukrani sana kwa majibu yako ila wewe na aliyeanzisha post hamjapishana sana uwezo weno wa kujenga hoja ndio maana nasema kupasishwa kwa "KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA " kama kigezo rasmi cha kuwa na weledi bila kuwa na uwezo wa " KUFIKIRI" ni tatizo litakalo chukua miongo kadhaa kulifuta by the way kwa Tanzania mpaka sasa ni wafanya kazi wangapi wameachishwa kutokana na mdororo wa kimya kimya wa ukuaji wa uchumi? ni viwanda vingapi vimepunguza uzalishajia na kupunguza wafanyakazi mpaka sasa ndani na nchi yetu ukitaka kujenga hoja FIKIRI njoo na data si kutukana kutakupa werevu wakuonekana UJUVI wa unalosema kumbe nawe ni walewale wanaojua " KUSOMA NA KUANDIKA BILA KUFIKIRI" JENGENI NYUMBA YENU INAMOMONYOKA ACHANENI NA MAJIRINI " HANGAIKENI NA SHIDA ZENU KWANZA, Madawati bado, madarasa bado ya Tembe halafu mgombea Urais anasema Atatoa Laptop kwa kila mwalimu kwasababu tu nyumba ya jirani naye alijinasibu na ameweza sisi? Mthalani wenzetu wameweza hili :-
View attachment 688605 Sisi tumefanya nini au Tunasubiri tumalize kununua WAVULANA wote na uchaguzi wa ndani? jamani kujua KUSOMA NA KUANDIKA NI HATUA YA KWANZA ILA MSISAHAU KUFIKIRI NI KWA MUHIMU SANA SANA especially kwa MAFWAFWA KAMA WEWE NA WENZAKO
Nilifikiri ukirudi utakuja na hoja kumbe ni pumba pumbastik sasa ndugu mwerevu naomba unipe manufaa ya hiyo satellite ya Kenya kwenye uchumi wa Kenya.

Uje na hoja mujarabu sio vimaneno vitupu vilivyoboldiwa na herufi kubwa kumbe ni shudu.
 
Back
Top Bottom