joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kaka hoja unayojenga ninahisi ni kubwa kuliko uwezo wako, serikali yoyote makini na ambayo uchumi wake unafanya vizuri kamwe haiwezi kuachisha kazi watumishi wake, wewe unachanganya kati ya biashara na ajira, katika biashara ni kweli kwamba kupunguza watumishi ni sehemu moja wapo ya kupunguza matumizi na kuongeza faida, lakini serikali haifanyi biashara, ila inatoa huduma kama, elimu, afya, polisi, magereza, jeshi na huduma zingine za kijamii, ufanisi wa huduma hizi kama elimu kwa mfano, inategemea sana na idadi ya waalimu, kupunguza watumishi katika serikali ni tatizo kubwa sana.Shukrani sana kwa majibu yako ila wewe na aliyeanzisha post hamjapishana sana uwezo weno wa kujenga hoja ndio maana nasema kupasishwa kwa "KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA " kama kigezo rasmi cha kuwa na weledi bila kuwa na uwezo wa " KUFIKIRI" ni tatizo litakalo chukua miongo kadhaa kulifuta by the way kwa Tanzania mpaka sasa ni wafanya kazi wangapi wameachishwa kutokana na mdororo wa kimya kimya wa ukuaji wa uchumi? ni viwanda vingapi vimepunguza uzalishajia na kupunguza wafanyakazi mpaka sasa ndani na nchi yetu ukitaka kujenga hoja FIKIRI njoo na data si kutukana kutakupa werevu wakuonekana UJUVI wa unalosema kumbe nawe ni walewale wanaojua " KUSOMA NA KUANDIKA BILA KUFIKIRI" JENGENI NYUMBA YENU INAMOMONYOKA ACHANENI NA MAJIRINI " HANGAIKENI NA SHIDA ZENU KWANZA, Madawati bado, madarasa bado ya Tembe halafu mgombea Urais anasema Atatoa Laptop kwa kila mwalimu kwasababu tu nyumba ya jirani naye alijinasibu na ameweza sisi? Mthalani wenzetu wameweza hili :-
View attachment 688605 Sisi tumefanya nini au Tunasubiri tumalize kununua WAVULANA wote na uchaguzi wa ndani? jamani kujua KUSOMA NA KUANDIKA NI HATUA YA KWANZA ILA MSISAHAU KUFIKIRI NI KWA MUHIMU SANA SANA especially kwa MAFWAFWA KAMA WEWE NA WENZAKO
Huku Tanzania kama unafuatilia mambo vizurI, ukiachana na watumishi waliokutwa na vyeti feki, serikali haijafanya zoezi lolote la kuachisha kazi, badala yake wanatoa ajira kwa wingi sana. Kazi na jukumu muhimu la serikali zote duniani ni kuhakikisha kwamba wananchi wake wanapata ajira, sio serikali kutengeneza faida, na kumbuka kwamba serikali ndiye the single biggest employer duniani kote japo haifanyi biashara, sio lazima ajira zitoke katika business making sector.