Norways
New Member
- May 15, 2021
- 3
- 0
Sera za kigeni, za mataifa mbalimbali ma kubwa kwa madogo kwa kuzingatia maitaji yao kiuchumi na kimaendeleo zimejikita katika, kutengeneza uhusiano mzuri kwenye uwanja wa mahusiano ya kimataifa, hili waweze kupata kiuraisi rasilimali ambazo hazipatikani kwa wingi au hazipo kabisa kwenye mataifa yao. Kuelekea uchumi wa kisa