Uchumi wa Nchi unapodorora kama huu wa Tanzania, lawama ziende kwa Rais au Waziri wa Fedha?

Watanzanka kwa ku exaggerate mambo hamjambo. Takwimu za kula mlo mmoja kwa sababu za uchumi mmbaya umezitoa wapi? Umapima vipi mdororo wa uchumi wa Tanzania?

Mimi binafs naona mabdidiliko chanya toka Rais Samia amechukua nchi kama ifuatavyo;

Watu masokoni wanajaa kununua vyakula, petrol station magari yanaingia na petrol station zinaendelea kujengwa, mabasi ya mikoani yanajaza abiria wanaokwenda na wanao rudi. Kariakoo sasa hivi hakuna matangazo ya "Fremu inapangishwa". Mitaani sijaona mtanzania anakufa kwa njaa. Ujenzi wa Nyumba na magorofa kwa Dar es Salaam unaendelea kila mahali na ukienda Benki unakutana na angalao wateja wanne wako foleni.

Hali ya uchumi ni nzuri sana wakati huu wa Samia kuliko wakati wa Dikteta
 
Mbona hutuonyeshi unavyodorala badala badala yake unaropoka tuu?

Mna kesi ya kujibu Kwenye wizi wa til.1.2 ,aliyesalama na Mwendazake aliyekufa ila nyie wengine kuna siku myanyongwa..
 
lawama kwa boss
 
Uchawa una mwisho
 


Hi nchi ngumu sana
 
Umewahi amka asubuhi ukakuta watu hawasafiri Kisa hawana pesa? [emoji38][emoji38]

Umewahi enda kwenye masoko ukakuta yamefungwa? [emoji23][emoji23]

Maskini wa akili wewe.
Ndio maana nimesema kuna muda akili zako huwa zinaruka.

Unavyosikia Sri Lanka uchumi umeanguka kwani masoko yamefungwa?
 
Umeongea vizuri Ila umekosea kusema kipindi cha JPM uchumi ulidorora. Sio kweli
 
Unaweza niwekea viashiria vya uchumi kuporomoka?

Mambo ya uchumi yako nje ya uwezo wa ubongo wako.
Hujui chochote kuhusu uchumi
Sababu za uchumi kuporomoka ni Inflation, Stagflation, shilling kushuka thamani, global currency crisis

Uchumi wa Zimbabwe ulianguka, masoko yalifungwa? Watu waliacha kusafiri? Au unafikiri kuanguka kwa uchumi watu wanakua hawafanyi kitu chochote wamekaa tu?
 
Hujui chochote kuhusu uchumi
Sababu za uchumi kuporomoka ni Inflation, Stagflation, shilling kushuka thamani, global currency crisis
Turkey inflation iko 70% lakini economic growth ni 8.2%,unaelewa hata maana ya inflation kweli?

Tanzania ina stagnation?.

Shilingi ya Tanzania imeshukia wapi?

Wewe ni mbumbumbu tuu hakuna unachojua Kuhusu Uchumi.
 
Turkey inflation iko 70% lakini economic growth ni 8.2%,unaelewa hata maana ya inflation kweli?

Tanzania ina stagnation?.

Shilingi ya Tanzania imeshukia wapi?

Wewe ni mbumbumbu tuu hakuna unachojua Kuhusu Uchumi.
Turkey uchumi imeshuka kulingana na mwaka uliopita, na hali.ikiendelea hivi uchumi utazidi kushuka au unafikiri uchumi unashuka kwa siku 1??

Ni wapi nimekuambia uchumi wa Tanzania umeshuka? Au una tatizo la akili?

Mm nilikuwa nakuweka sawa kuwa uchumi kushuka sio lazima uone masoko yamefungwa ndio nikakutolea mfano.

Una matatizo ya akili, una ugonjwa mkubwa wa akili
 
Umeongea vizuri Ila umekosea kusema kipindi cha JPM uchumi ulidorora. Sio kweli
Kipindi Cha jpm investments nyingi zilifungasha vilago kwa sabau ya Kodi nyingi na purchasing power kupunguza kwa sababu mzunguko wa pesa ulipotea. Nilienda kule bagamoyo viwanda vyote vya wahindi vya chumi vilifunga biashara kwa Sasa ndo vimerudi hiki kipindi. Biashara kibao zilifunga mfano uchumi supermarket. Tunaposema uchumi mostly tunazungumzia investments.

Wakulima Kama wa korosho walionja shubili kipindi Cha jpm mpaka korosho zao zikawa zinatupwa baharini kwa kukosa soko na mbaazi pia zilikosa soko Mana mnunuaji alisusa baad ya kuwa threatened.
 
Unaongea mengi ya uongo ili uifurahishe nafsi yako? Sasa hapo unamkomoa nani?

Unazungumzia kiwanda cha chumvi kufungwa? Kuna awamu kuna viwanda havikufungwa?
Unazungumzia uchumi supermarket kufunga biashara? Kwani hata imalaseko supermarket mbona alifunga wakati wa JK pale kkoo?

Unasema uchumi ulidorora? Ilikuaje tukaingia uchumi wa Kati? Kipato Cha mmoja mmoja ilikuaje kikaongezeka?

Wakulima wa korosho walionja shubiri? Korosho kabla ilikua ikituingizia kiasi gani na wakati wa jpm ikituingizia kiasi gani, njoo na majibu haya. Alafu story za korosho kutupwa baharini achana nazo kwa kuwa hazina uhalisia.
 
Wewe unatetea nini ?
 
......mihogo na maharage.…..... umenikumbusha namna wale Wamama wanavyotumia muda pale kituo X pale Ilala Jiji kusubiri mihogo kutoka pwani.
 
Wa kulaumiwa ni rais, waziri ni mamlaka ya uteuzi wa rais, asipofaa anateuliwa mwingine, nini kigumu?
Mwigulu alishasema n unpopular minister. Mwigulu sijui Kama anafahamu job description yake vizuri na kibaya Zaid yupo pale akiwaza kuwa one day he will be his excellence the head of state something impossible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…