technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Unaongea mavi gani wewe? Toa takwimu wanafunzi walioanza kusoma shule baada ya tozo kufutwa na miradi mikubwa (mega project) ambazo zinatekelezwa, namba ya wanafunzi wanaopata mikopo, n.k.Aliingia madarakani mwaka 2015 na kwa mjibu wa TRA toka kipindi icho anakusanya 1.3 trion *50 miezi aliyokaa madarani. amekusanya trion 65. na kukopa zaidi ya trion 25 jumla ni trion 90 wakati huo. kapunguza mikopo ya watoto chuo kikuu, wanafunzi bado wanakaa chini, ajira za walimu hakuna wakati walimu hawatoshi.
Hii statement huwa mnaipenda sana kuisema lakini hamuoni kuwa mnajidhalilisha wenyewe. Mfano ukazaa mtoto ambaye ni mwizi au shoga nani wa kulaumiwa ni MZAZI. Malezi mabaya. Katika siasa, kiongozi ni mlezi wa wanachama wake. Hivyo mwanachama kurubuniwa ni weakness ya kiongozi kuwa hajui kuwafunda wanachama wake au mategemeo yao hayajafikiwa.Aliingia madarakani mwaka 2015 na kwa mjibu wa TRA toka kipindi icho anakusanya 1.3 trion *50 miezi aliyokaa madarani. amekusanya trion 65.
......
Pesa za walipa kodi zinatumika kununua wapinzani chadema na ACT.
......
Mtoa mada, hiyo kodi yote inakusanya kwa pesa za kigeni au pesa ya kitanzania. Utamleta mturuki kujenga reli kwa shilingi ya kitanzania? Au utanunua xray za hospitali kwa fedha za kitanzania? Miradi mingi mikubwa inahitaji fedha za kigeni, na fedha hizo tunazipata kutokana na mauzo nje viti mbali mbali ikiwemo mazao, madini, utalii nk. Mikopo ni moja ya njia ya kupata fedha za kigeni, cha msingi ni kuongeza mauzo yetu nje ndio tutakuwa na uwezo zaidi wa kujitegemea.Aliingia madarakani mwaka 2015 na kwa mjibu wa TRA toka kipindi icho anakusanya 1.3 trion *50 miezi aliyokaa madarani. amekusanya trion 65.
Na kakopa zaidi ya trion 25 jumla ni trion 90
Wakati huo.
Kapunguza mikopo ya watoto chuo kikuu, wanafunzi bado wanakaa chini, ajira za walimu hakuna wakati walimu hawatoshi.
Utekelezaji wa budget haujawai kufika 75 ya makadirio kwa kila mwaka,
watanzania wanaotumia umeme hawajafika hata 30%
watanzania wanao tumia maji safi na salama hawajafika hata 50%
pesa inayopelekwa kwenye kilimo ambacho 80%ya watanzania wanakitegemea haifiki hata 1 trion kwenye budgeti ya 30 trion.
Viwanda bila umeme bila maji bila kilimo?
Pesa za walipa kodi zinatumika kununua wapinzani chadema na ACT.
viongozi wa ccm mkiongozwa na Magufuli Mnatakiwa kupisha pembeni hamna tija kwa nchi.
Dear you must b out of your normal/right senses.Hii statement huwa mnaipenda sana kuisema lakini hamuoni kuwa mnajidhalilisha wenyewe. Mfano ukazaa mtoto ambaye ni mwizi au shoga nani wa kulaumiwa ni MZAZI. Malezi mabaya. Katika siasa, kiongozi ni mlezi wa wanachama wake. Hivyo mwanachama kurubuniwa ni weakness ya kiongozi kuwa hajui kuwafunda wanachama wake au mategemeo yao hayajafikiwa.
Left sense perhapsDear you must b out of your normal/right senses.
Toa takwimu na wewe....sio unakurupuka tu....Nchi inakopa kila inayoitwa Leo kwa Aili ya hizo Mega Project zake.......zinazopaisha Deni la taifa kwa Kasi ya mnyama DumaUnaongea mavi gani wewe? Toa takwimu wanafunzi walioanza kusoma shule baada ya tozo kufutwa na miradi mikubwa (mega project) ambazo zinatekelezwa, namba ya wanafunzi wanaopata mikopo, n.k.
Hiyo miradi imekupa unafuu gani wa maisha mkuu.. Ndo kwanza nyanya 1 500 kitunguu hakishikiki huku ndipo maisha halisi ya waTZ wanaitaji watoke.Unaongea mavi gani wewe? Toa takwimu wanafunzi walioanza kusoma shule baada ya tozo kufutwa na miradi mikubwa (mega project) ambazo zinatekelezwa, namba ya wanafunzi wanaopata mikopo, n.k.
hauko na akili nzuri wewe utakuwa unalawitiwaAliingia madarakani mwaka 2015 na kwa mjibu wa TRA toka kipindi icho anakusanya 1.3 trion *50 miezi aliyokaa madarani. amekusanya trion 65.
Na kakopa zaidi ya trion 25 jumla ni trion 90
Wakati huo.
Kapunguza mikopo ya watoto chuo kikuu, wanafunzi bado wanakaa chini, ajira za walimu hakuna wakati walimu hawatoshi.
Utekelezaji wa budget haujawai kufika 75 ya makadirio kwa kila mwaka,
watanzania wanaotumia umeme hawajafika hata 30%
watanzania wanao tumia maji safi na salama hawajafika hata 50%
pesa inayopelekwa kwenye kilimo ambacho 80%ya watanzania wanakitegemea haifiki hata 1 trion kwenye budgeti ya 30 trion.
Viwanda bila umeme bila maji bila kilimo?
Pesa za walipa kodi zinatumika kununua wapinzani chadema na ACT.
viongozi wa ccm mkiongozwa na Magufuli Mnatakiwa kupisha pembeni hamna tija kwa nchi.
Mpe hoja yako usimtukanehauko na akili nzuri wewe utakuwa unalawitiwa
Hiyo miradi imekupa unafuu gani wa maisha mkuu.. Ndo kwanza nyanya 1 500 kitunguu hakishikiki huku ndipo maisha halisi ya waTZ wanaitaji watoke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mifano off targetHii statement huwa mnaipenda sana kuisema lakini hamuoni kuwa mnajidhalilisha wenyewe. Mfano ukazaa mtoto ambaye ni mwizi au shoga nani wa kulaumiwa ni MZAZI. Malezi mabaya. Katika siasa, kiongozi ni mlezi wa wanachama wake. Hivyo mwanachama kurubuniwa ni weakness ya kiongozi kuwa hajui kuwafunda wanachama wake au mategemeo yao hayajafikiwa.