Uchumi wa Serikali ya Rais Magufuli kichekesho cha karne

Aliingia madarakani mwaka 2015 na kwa mjibu wa TRA toka kipindi icho anakusanya 1.3 trion *50 miezi aliyokaa madarani. amekusanya trion 65.

Na kakopa zaidi ya trion 25 jumla ni trion 90

Wakati huo.

Kapunguza mikopo ya watoto chuo kikuu, wanafunzi bado wanakaa chini, ajira za walimu hakuna wakati walimu hawatoshi.

Utekelezaji wa budget haujawai kufika 75 ya makadirio kwa kila mwaka,

watanzania wanaotumia umeme hawajafika hata 30%

watanzania wanao tumia maji safi na salama hawajafika hata 50%

pesa inayopelekwa kwenye kilimo ambacho 80%ya watanzania wanakitegemea haifiki hata 1 trion kwenye budgeti ya 30 trion.

Viwanda bila umeme bila maji bila kilimo?

Pesa za walipa kodi zinatumika kununua wapinzani chadema na ACT.

viongozi wa ccm mkiongozwa na Magufuli Mnatakiwa kupisha pembeni hamna tija kwa nchi.
zimetumika kui mordenize & kui upgrade Chato!
 
Mmmh [emoji44] ya kweli haya.

Stay tuned [emoji6], Everything would be alright.
 
Unaongea mavi gani wewe? Toa takwimu wanafunzi walioanza kusoma shule baada ya tozo kufutwa na miradi mikubwa (mega project) ambazo zinatekelezwa, namba ya wanafunzi wanaopata mikopo, n.k.

Mkuu, uwe mvumilivu. Mega projects za Stigler’s na SGR?? Mbona unajitoa ufahamu - SGR hata 200k haijatoboa. 1341k itafika lini na miaka 3 imekwisha sasa?? Hapo hapo kuna deni la taifa likiongezeka. Si kweli pia kuwa idadi wa wanaopata mikopo imeongezeka, kilichofanyika ni kuwa watoto wamepunguziwa asilimia ya mkopo ili mwingine apate. Ni kweli kuna idadi kubwa ya wanaopata mikopo lakini hiyo haina maana ya ongezeko kati pesa ya jumla ya mikopo. Na usisahau marejesho yamepandq kutoka 8% hadi 14%. Noe these are facts!!

Je jamaa kadanganya kuhusu bajeti isiyofikia 1t katika sehemu inayoajiri watu zaidi ya asilimia 70?? Mwaka 2018/19 utekelezaji bajeti kwa nyingi ya wizara ilikuwa chini ya 40%.

Kama kuna pesa nyingi hivo zinakusanywa, zinatumika katika maeneo gani? Ni swali tu ambalo kama una taarifa - tufahamishe.
 
Hii statement huwa mnaipenda sana kuisema lakini hamuoni kuwa mnajidhalilisha wenyewe. Mfano ukazaa mtoto ambaye ni mwizi au shoga nani wa kulaumiwa ni MZAZI. Malezi mabaya. Katika siasa, kiongozi ni mlezi wa wanachama wake. Hivyo mwanachama kurubuniwa ni weakness ya kiongozi kuwa hajui kuwafunda wanachama wake au mategemeo yao hayajafikiwa.
Lakini bado haiondoi ukweli wa hoja kuwa Mama au baba Malaya huweza kirahisi Sana kuwafundisha watoto tabia hiyo mbaya.
Chama kikongwe chenye kuongoza serikali kuwarubuni viongozi wa vyama vingine kwa fedha ili kiendelee kutawala ni fedheha kubwa kwa nchi.
Mtasema iwapo kuna ushahidi!!?
Nasema ndiyo, upo. Wengine wanahongwa vyeo, na wengine kwa mazigira halisi wanahongwa fedha.
Hivi inawezekanaje diwani anayetegemea pensheni ya zaidi ya 30,000,000/- aziteme hivi hivi kukiwa kumesalia miezi minne tu azipate. Je, amepewa kiasi gani katika umalaya huu unaofanyika hadharani baina ya CCM na makahaba hawa!!?
Tuache kutetea upumbavu huu wa akina Pole pole, unaharibu maadili ya Taifa hili.
 
Aliingia madarakani mwaka 2015 na kwa mjibu wa TRA toka kipindi icho anakusanya 1.3 trion *50 miezi aliyokaa madarani. amekusanya trion 65.

Na kakopa zaidi ya trion 25 jumla ni trion 90

Wakati huo.

Kapunguza mikopo ya watoto chuo kikuu, wanafunzi bado wanakaa chini, ajira za walimu hakuna wakati walimu hawatoshi.

Utekelezaji wa budget haujawai kufika 75 ya makadirio kwa kila mwaka,

watanzania wanaotumia umeme hawajafika hata 30%

watanzania wanao tumia maji safi na salama hawajafika hata 50%

pesa inayopelekwa kwenye kilimo ambacho 80%ya watanzania wanakitegemea haifiki hata 1 trion kwenye budgeti ya 30 trion.

Viwanda bila umeme bila maji bila kilimo?

Pesa za walipa kodi zinatumika kununua wapinzani chadema na ACT.

viongozi wa ccm mkiongozwa na Magufuli Mnatakiwa kupisha pembeni hamna tija kwa nchi.
Kweli tumepotezwa mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini bado haiondoi ukweli wa hoja kuwa Mama au baba Malaya huweza kirahisi Sana kuwafundisha watoto tabia hiyo mbaya.
Chama kikongwe chenye kuongoza serikali kuwarubuni viongozi wa vyama vingine kwa fedha ili kiendelee kutawala ni fedheha kubwa kwa nchi.
Mtasema iwapo kuna ushahidi!!?
Nasema ndiyo, upo. Wengine wanahongwa vyeo, na wengine kwa mazigira halisi wanahongwa fedha.
Hivi inawezekanaje diwani anayetegemea pensheni ya zaidi ya 30,000,000/- aziteme hivi hivi kukiwa kumesalia miezi minne tu azipate. Je, amepewa kiasi gani katika umalaya huu unaofanyika hadharani baina ya CCM na makahaba hawa!!?
Tuache kutetea upumbavu huu wa akina Pole pole, unaharibu maadili ya Taifa hili.
Nakubaliana na wewe, ila mwanachama anayerubuniwa kwa hela hana itikadi! Yupo kushibisha tumbo lake tu. Na chama chenye watu wasio na itikadi mpaka wanarubuniwa si chama. Huwezi kujiona umeoa wakati mke wako akipewa vihela anakazwa ovyo. Mke wa uhakika ni yule hata akihaidiwa kupewa cheo anaibana K yake. Je, mwanamke malaya si anamletea aibu mumewe? Hivyo ni aibu chama kulialia kuwa wanachama wake wanarubuniwa kam yuda eskariote.
 
Weee Ni BONGE LA Msengemanyoya dadadadeki [emoji12] [emoji12][emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe, ila mwanachama anayerubuniwa kwa hela hana itikadi! Yupo kushibisha tumbo lake tu. Na chama chenye watu wasio na itikadi mpaka wanarubuniwa si chama. Huwezi kujiona umeoa wakati mke wako akipewa vihela anakazwa ovyo. Mke wa uhakika ni yule hata akihaidiwa kupewa cheo anaibana K yake. Je, mwanamke malaya si anamletea aibu mumewe? Hivyo ni aibu chama kulialia kuwa wanachama wake wanarubuniwa kam yuda eskariote.
Hapa tunazungumzia suala kubwa la maadili ya nchi yetu. Tuna Chama ambacho kimekabidhiwa serikali yenye hazina yetu. Kutumia hazina yetu kutoa rushwa Kisha tutegemee kitapambana na ufisadi Ni kujidanganya.
Yuda huwa wapo kila mahali, lakini humtegemea Ibilisi ili ashiriki dhambi, CCM ya Bashiru na Polepole chini ya Mwenyekiti wao wamekuwa washirika wa Ibilisi!!!?
 
Sikatai mawazo yenu ila kubali kuunanga upande wa pili. CCM nao wanakosa itikadi kwani wana Pokea wasio na itikadi, ugomvi wangu na nyie ni kuficha madhambi yenu. Sawa na kumkamata mkeo anakazwa na jamaa, ukamtetea mkeo ati aliyemtongoza ndiye mbaya pekee! Hapana kwani alibakwa? Hivyo wote ni wa hovyo pamoja na wenzi wao ni hovyo. Usipomtunza mkeo ataitoa k kwa wanaomtunza! Hivyo hivyo watu kama Zitto wanahanja ughaibuni baadala ya kuimarisha chama, wanachama wanachoka. Katika hili hata CCM siitetei maana zamani ukijiunga na CCM lazima upewe shule ya miezi 3 ndipo upate kadi baada ya kushinda mtihani. Kwa sasa mtu anatangaza kuwa nimehama Chadema na kujiunga CCM siku hiyo anaondoka na kadi. Hapo hakuna itikadi. Lakini tujiulize kwanini kuna vyama vya mageuzi? (Nachukia sana kuita upinzani). Ni kwa vile CCM haitoshi. Vyama vya mageuzi vikitenda kama CCM hapo siafiki
 
Back
Top Bottom