Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa 5.3%,tutegemee Neema zaidi Mwaka 2022 Chini ya Rais Samia.

Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa 5.3%,tutegemee Neema zaidi Mwaka 2022 Chini ya Rais Samia.

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Matunda ya Uongozi wa Rais SSH yaanza kuonekana kutokana na ukuaji wa Uchumi.

Hongera Sana Mama juhudi zako zimeanza kuzaa matunda,Watanzania tutegemee Neema zaidi kwa miaka ijayo

Screenshot_20220105-210157.png
 
Wengi wanaukubali ukweli huu moyoni, na kuukataa machoni. Wanajua wakiukubali machoni wataonekana mtandaoni, afu zile data za bure na buku buku wanazotumiwa na katibu mkuu watazikosa. Kwahiyo hiyo ndio sababu ya kuuza uhuru wao wa kufikiri na utu wao kwa sababu ya njaa zao.
 
Fungua codes zaidi mkuu
 
Fungua codes zaidi mkuu
Hahahaha.. mkuu, kuna watu humu hawaupendi upinzani na hawawaamini kabisa wapinzani. Lakini kutokana na njaa zao, eidha kwa kutopenda kufanyakazi nk, wanajikuta wanaandika thread za kupinga maendeleo yoyote yanayoletwa na serikali kwa niaba ya upinzani ili angalau waweze kujiingizia buku buku kwa siku bila kuitolea jasho, pia data za bure ili wapate nguvu za kuendelea kuandika ujinga wao kuhusu serikali. Siku katibu mkuu na chama chake watasimamisha malipo haya, utaoni thread nyingi za kuiponda serikali zinapotea na zile ID fake zitapungua.
 
Back
Top Bottom