Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa 5.3%,tutegemee Neema zaidi Mwaka 2022 Chini ya Rais Samia.

Wengi wanaukubali ukweli huu moyoni, na kuukataa machoni. Wanajua wakiukubali machoni wataonekana mtandaoni, afu zile data za bure na buku buku wanazotumiwa na katibu mkuu watazikosa. Kwahiyo hiyo ndio sababu ya kuuza uhuru wao wa kufikiri na utu wao kwa sababu ya njaa zao.
 
Fungua codes zaidi mkuu
 
Fungua codes zaidi mkuu
Hahahaha.. mkuu, kuna watu humu hawaupendi upinzani na hawawaamini kabisa wapinzani. Lakini kutokana na njaa zao, eidha kwa kutopenda kufanyakazi nk, wanajikuta wanaandika thread za kupinga maendeleo yoyote yanayoletwa na serikali kwa niaba ya upinzani ili angalau waweze kujiingizia buku buku kwa siku bila kuitolea jasho, pia data za bure ili wapate nguvu za kuendelea kuandika ujinga wao kuhusu serikali. Siku katibu mkuu na chama chake watasimamisha malipo haya, utaoni thread nyingi za kuiponda serikali zinapotea na zile ID fake zitapungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…