Mara nyingi tunasikia taarifa kuhusu ukuaji wa uchumi, ongezeko la uwekezaji na maendeleo ya miundombinu nchini. Hata hivyo, baadhi ya wananchi bado wanaendelea kulalamikia gharama za maisha, bei za bidhaa na changamoto za kipato.
Je, ukuaji wa uchumi unaonekana moja kwa moja katika maisha ya mwananchi wa kawaida, au badokuna pengo kati ya takwimu za uchumi na hali halisi ya maisha?
Je, ukuaji wa uchumi unaonekana moja kwa moja katika maisha ya mwananchi wa kawaida, au badokuna pengo kati ya takwimu za uchumi na hali halisi ya maisha?