Uchumi wa Tanzania unakua, Lakini maisha ya Mwananchi yameboreka?

Kadhakan

Senior Member
Joined
Jul 20, 2026
Posts
126
Reaction score
201
Mara nyingi tunasikia taarifa kuhusu ukuaji wa uchumi, ongezeko la uwekezaji na maendeleo ya miundombinu nchini. Hata hivyo, baadhi ya wananchi bado wanaendelea kulalamikia gharama za maisha, bei za bidhaa na changamoto za kipato.

Je, ukuaji wa uchumi unaonekana moja kwa moja katika maisha ya mwananchi wa kawaida, au badokuna pengo kati ya takwimu za uchumi na hali halisi ya maisha?

 
hayo ni maendeleo ya online mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…