Uchumi wa Tanzania unakua watajwa kuingia kwenye 10 Bora Afrika kwa pato la GDP

Uchumi wa Tanzania unakua watajwa kuingia kwenye 10 Bora Afrika kwa pato la GDP

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
611
Reaction score
567
Nchi ya Tanzania imeendelea kutajwa kuwa imara na kukua kiuchumi, hiyo ni baada ya kuingia kwenye orodha ya nchi 10 bora za Afrika kwa Pato la Taifa (GDP) kwa Mwaka 2024, kwa mujibu wa IMF.

Ikiwa na GDP ya Dola Bilioni 79.87, maendeleo ya uchumi wa Tanzania yanaonyesha athari chanya za sera bora, uongozi madhubuti, na kujitolea kwa maendeleo chini ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Ingawa nchi nyingine zinaweza kuwa na takwimu kubwa zaidi, kupanda kwa Tanzania kunadhihirisha ukuaji endelevu na jumuishi, hususan katika sekta muhimu kama kilimo, utalii na viwanda.
IMG-20241023-WA0242(1).jpg

IMG-20241023-WA0253.jpg
 
Back
Top Bottom