Uchumi wa visiwa vya bahari ya hindi- Zanzibar hoi.

Uchumi wa visiwa vya bahari ya hindi- Zanzibar hoi.

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
Visiwa vya Madagascar, Seychelles, Maldives, Reunion na Zanzibar ni visiwa viliopo kwenye bahari ya Hindi. Uchumi wa visiwa hivi umefanana vinategemea utalii na kilimo. Kipato cha wastani (per capita income)wa visiwa hivi ni kama ifatavyo:
Reunion $ 23,000 kwa mwaka
Maldives $ 18,600 kwa mwaka
Seychelles $ 16,000 kwa mwaka
Madagascar $ 1900 kwa mwaka
Zanzibar $ 460 kwa mwaka
Kwa kuzingatia takwimu hizi ni dhahiri Zanzibar hoi kiuchumi ukilinganisha na uchumi wa visiwa vengine vya bahari ya Hindi. Hivi nini chanzo cha umaskini wa Zanzibar?
 
Commoro sioni hapo...au kwa vile wao wanatoka kule
 
Tatizo Zanzibar ma mwinyi wengi.. Mtu unaenda kununua soda au chakula mpaka umtafute muuzaji mtaa wa tatu. Yaani mnunuzi unamtafuta muuzaji we ulishaona wapi hii haiba? Lazima wawe maskini tu mpaka waache umwinyi wao
 
Mauritius haimo pia
Ila tumekuelewa kwamba Target ni Zanzibar tu,umeeleweka ndio maana watu wamepotezea
Kwa hio zanzibar ilinganishwe na the worst n not the best, safii. Haya tulinganishe zanzibar na kisiwa cha mafia, hapo vp?
 
Back
Top Bottom