Kwanza nikiri kabisa kabla, mimi sio mchumi.
Kwa sauti nyingi za viongozi wetu, ni uchumi umeshuka na kunahitajika jitiahada ili kuurudisha katika sehemu yake
Swali langu ni moja tu, Njia inayoitumia serikali kuweza kurudisha uchumi unaokufa ni sahihi au ndio inaudidimiza zaidi?
Mimi nanachokifahamu na ingawa mimi si mwanauchumi, kunapotokea mdoloro wa kiuchumi, Mtu hulazimika abane matumizi ili angalau aweza kusevu pesa ili tu mambo mhimu yasisimame
Nachoshindwa kuelewa kwa mpango ilokuja nao serikali yetu kupitia wizara ya Fedha, ni pale inapokiri kwamba, Uchumi umeshuka, badala ya serikali ikubali kubana matumizi, kama ni baadhi ya magari yake yasiwepo barabarani, wabunge hewa waondoke kabisa bungeni, kupiga marufuku semina mblimbali na Kwa ziara zisizo na tija, mara sijui misafara ya wastaafu kwenda wapi , na kisha kutafuta vyanzo vipya vya mapato visivyompa mzigo mwananchi anayeathiriwa na mdorolo wa kiuchumi
Badala yake, imekuja na wazo ambalo kiukweli, sijui kama lilipitiwa vizuri na wasomi wachumi, maana nijuacho mimi.
Ukiwa na duka ambalo lilikuwa tegemezi likaelekea kufiliska, hauhitaji tena kulitazama kama eneo linalokuingizia pesa, ispokuwa utalazimika kufanya kila mbinu kutafuta fedha mahali pengine ili uje ulibusti tayari kwa kukuingizia fedha nyingi.
Hii kodi inatoletwa na kuingizwa kwa wananchi ambao ni sehemu ya nchi iliyo katika kipengele cha uchumi kufiliska.
Kwani Inapotokea uchumi unashuka, huwa unakawaida ya viashiria gani kati ya serkali na walipa kodi?
Kama ni watu uchumi wao unakufa, hiyo tozo si ndio kuwafanya wawe hohehahe kabisa na kodi hizo kwenda kunywesha mafuta ya magari ya serikali, posho za semina mbambali na mambo kadha wa kadha.
Wana uchumi, tuambieni vizuri, Uchumi unaokufa unahitaji kusisimuliwa kwa kuongezewa tozo kwa wananchi ama?