Uchumi wako unaweza kununua kitu gani unachojisikia?

Watu wana hela mazee...siku moja kuna mzee alinipa simu yake nimrekebishie akiwa anapiga aweze kuchagua either ni sim1/sim2 sasa alivyonipa ilikuwa upande wa msg niliona msg crdb bank(naona aliweka mpunga siku hyo) mzee ana 600m halafu yuko normal kabsa!
 
Swadakta, ugali ni jambo muhimu sana, vingine nyongeza
tu.
Nu ukishiba hivyo vinginevyo vinakuja tu
 
Kunawatu wanafedha lakin hawapendi kufahamika kabisa
 
Ujinga ni kuwa na fedha nyingi nakuishi kama vile huna
 
Kiberiti na chumvi ya mawe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Viwanja kaka.

Alafu vuta picha Kuna watu hawawazi kabisa kuhusu Hela ya kununua hivyo viwanja. Yani mtu anaangalia hiyo list kama mimi ninavyoangalia list ya viwanja vya milioni 2 kule vikindu.
Dah acha tuzidi kutafuta hela, msechu aje aimbe msimbani kwanguπŸ˜‚.

Kuna watu Wana mkwanja, na hawana ma presha aisee, Kama sisi tunavyo wazia vitu Kama vichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…