Ruth Benson
Member
- Feb 24, 2014
- 9
- 2
Naomba kujua jamani, kipi kinaanza mwanamke akitaka kujifungua kati ya uchungu au maji yanayotoka au damu? Au vyote huanza kwa pamoja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujua jamani, kipi kinaanza mwanamke akitaka kujifungua kati ya uchungu au maji yanayotoka au damu? Au vyote huanza kwa pamoja?
Uchungu unaweza kuanza kama tumbo la breed, maji na damu vinaweza kutoka. kwa maelezo zaidi pitia hapa Pregnancy, baby and toddler health information at BabyCentre UK - BabyCentre
Mmmh! Sijui itakuwaje??
A very simple task,
Naomba kujua jamani, kipi kinaanza mwanamke akitaka kujifungua kati ya au maji yanayotoka au damu? Au vyote huanza kwa pamoja?
Ruth unakaribia nini? Usiogope...! Kinachofanyika ni hicho wachangiaji wamekueleza! Kila lakheri kama ni mtarajiwa.
usiogope, it'll just pop out! pyuuuuu finish!Mmmh! Sijui itakuwaje??
cha kwanza ni uchungu unaomfanya mtoto azidi kusogea chini kuingia kwenye nyonga kuelekea kwenye uke,ule mfuko wenye maji anamokaa mtoto hata kuwa na uhuru wa kucheza(amniotic fluid sac) hupasuka hapo ndo maji mengi hutoka, hapo utasikia wanasema chupa imepasuka(rupture of membrane)
wamama wengi chupa ikipasuka hawachelewi kujifungua hasa uchungu ukiwa umekazana kwa maana chupa isipopasuka mtoto hawezi toka maana anakuwa yumo ndani ya huo mfuko wenye maji,na maji hayo ndo amniotic fluid, lakini wengine waweza chelewa baada ya hayo maji ni kiumbe kutoka ndo damu hufuata kisha kondo la nyuma likisha toka damu nyingi hutoka.
Did >5 deliveries ambazo mtoto alitoka akiwa ndani ya mfuko wake.
kwa kauzoefu kangu kamiaka kadha kwenye field hii sijaona mtoto akitoka akiwa kwenye mfuko wake kwenye SVD,ladba iko siku nitaona.
mi mwenyewe nilikuwa siamini initially lakini my first observation ilikuwa mnh enzi hizo nipo chuo. Hui inategemea na size ya mtoto na speed ya cervical dilatation. Kuna mwingine anakuja yuko fully na membranes zimebulge, unapojiandaa kupasua unakutana na mtoto anatoka.