Tarimba naye uadilifu wake tunautilia shaka ashazoea michezo yake ya kubeti.Tarimba namuheshimu sana ila heshima yake itashuka kama atafunika funika hii ishu.
Kama anazingua sema tumshushe tezi dume [emoji83]Moderators NATOA KWENU ANGALIZO HUYU MEMBER NADHANI KUNA ANALOLITAKA KWANGU KWANI HAKUNA UZI AU POST NITAKAYOIANDIKA AU KUIANZISHA ASIJE KUNIJIBU KWA KUNI PROVOKE NA BAHATI NZURI HILI JAMBO MNALIONA HALAFU HAMCHUKUI HATUA ZOZOTE. KWA UTHIBITISHO ZAIDI NAWAOMBENI PITIENI MAJIBU YAKE YOTE KATIKA EITHER THREADS OR POSTS ZANGU MJIRIDHISHE.
HUWA NAPENDA SANA AU MNO UTANI ILA HUYU MEMBER NAONA ANA AGENDA MAALUM DHIDI YANGU KWANI HAKA KATABIA HAJAANZA LEO WALA JANA. NAWAOMBENI KAMA MNAVYOKUWA WEPESI KUNIPIGA BAN BASI PI MUWE WEPESI KUCHUNGUZA SUCH PROVOCATIONS KAMA HIZI.
NINA UVUMILIVU MKUBWA TU LAKINI UNAKARIBIA KUNISHINDA NA KUCHELEWA KWENU KUCHUKUA HATUA MTASABABISHA NIJE NA MAJIBU YA HATARI ZAIDI DHIDI YAKE HALAFU NICHAFUE HUMU HALI YA HEWA KISHA MNIFANYIE HICHO MNACHOKIPENDA KUNIFANYIA.
SASA HIVI NAFANYA KAZI YA WATANZANIA KUIBUA UOZO ILI MATATIZO HAYA YAISHE NA LAITI MNGEJUA NINAVYOHATARISHA MAISHA YANGU KUZIPATA HIZI TAARIFA MNGENIPONGEZA AU HATA KUNIONEA HURUMA LAKINI ANATOKEA TU MTU MMOJA KILA NINAPOKUWA ANANIFUATA FUATA HALAFU KATIKA MAMBO MUHIMU NINAYOYALETA.
KAMA NA NYIE MNA AGENDA BINAFSI NA HUYU MEMBER SEMENI TU ILI NIJUE MOJA NA ASIDHANI KUWA SIMJIBU LABDA NAMUOGOPA BALI NALINDA TU HESHIMA YENU ILA ANAPOELEKEA ATASABABISHA MENGINE KWANI NIMEMCHOKA.
NIMEMALIZA!
Ungepita tu mkuu, hukulazimishwa kusomapumba tupu.
swissme
Swiss me...........Huwa simuelewagi mkuu msamehe Bure.....Moderators NATOA KWENU ANGALIZO HUYU MEMBER NADHANI KUNA ANALOLITAKA KWANGU KWANI HAKUNA UZI AU POST NITAKAYOIANDIKA AU KUIANZISHA ASIJE KUNIJIBU KWA KUNI PROVOKE NA BAHATI NZURI HILI JAMBO MNALIONA HALAFU HAMCHUKUI HATUA ZOZOTE. KWA UTHIBITISHO ZAIDI NAWAOMBENI PITIENI MAJIBU YAKE YOTE KATIKA EITHER THREADS OR POSTS ZANGU MJIRIDHISHE.
HUWA NAPENDA SANA AU MNO UTANI ILA HUYU MEMBER NAONA ANA AGENDA MAALUM DHIDI YANGU KWANI HAKA KATABIA HAJAANZA LEO WALA JANA. NAWAOMBENI KAMA MNAVYOKUWA WEPESI KUNIPIGA BAN BASI PI MUWE WEPESI KUCHUNGUZA SUCH PROVOCATIONS KAMA HIZI.
NINA UVUMILIVU MKUBWA TU LAKINI UNAKARIBIA KUNISHINDA NA KUCHELEWA KWENU KUCHUKUA HATUA MTASABABISHA NIJE NA MAJIBU YA HATARI ZAIDI DHIDI YAKE HALAFU NICHAFUE HUMU HALI YA HEWA KISHA MNIFANYIE HICHO MNACHOKIPENDA KUNIFANYIA.
SASA HIVI NAFANYA KAZI YA WATANZANIA KUIBUA UOZO ILI MATATIZO HAYA YAISHE NA LAITI MNGEJUA NINAVYOHATARISHA MAISHA YANGU KUZIPATA HIZI TAARIFA MNGENIPONGEZA AU HATA KUNIONEA HURUMA LAKINI ANATOKEA TU MTU MMOJA KILA NINAPOKUWA ANANIFUATA FUATA HALAFU KATIKA MAMBO MUHIMU NINAYOYALETA.
KAMA NA NYIE MNA AGENDA BINAFSI NA HUYU MEMBER SEMENI TU ILI NIJUE MOJA NA ASIDHANI KUWA SIMJIBU LABDA NAMUOGOPA BALI NALINDA TU HESHIMA YENU ILA ANAPOELEKEA ATASABABISHA MENGINE KWANI NIMEMCHOKA.
NIMEMALIZA!
Hata mimi simjui, Labda ungatuambia wewe mkuu MWENYE HEKIMA.kwan ww humjui uyu ni nani?,, mtu mkubwa uyu
Jamal Malinzi anahusika kwenye hili sakata ndio maana yupo kimya muda wote kama vile hajui kinachoendelea kwenye mpira wetu wa miguu. Juzi tena huko Katavi kuna timu tena zilipanga matokea baada ya timu moja kushinda goli 16-0 kwenye mchezo mmoja. Hili kama halitadhibitiwa mapema litatokea hata kwenye ligi kuu siku za hivi karibuni.Ngoja Niwaachie Members Kujua Nani Ni TAAHIRA Kati Yako Na Yangu. Hata Hivyo Huku KUNIFUATA FUATA Kwako Kila Niendapo Humu JF Kunaonyesha Ni Jinsi Gani UNAVYONIKUBALI Na Hata KUTAMANI Kuwa MAHIRI Kama Mimi Ila Huna Tu La Kufanya. Nakusihi Tu USIACHE KUNIFUATA au KUNIFUATILIA Hivyo Hivyo 24/7 Kwani Naamini Kuna Ambayo UNAJIFUNZA Kutoka Kwangu Ambayo Yatakujenga Nawe KIFIKRA. Nimeshafuatilia Na Kugundua Kuwa Kila Ninapokuja Na UZI Humu Wa Kumuhusisha Huyo MASTER Wako Wa TFF Lazima Tu Utakuja Ili Unitibue Nihamaki UZI Upoteze MAANA Ila Kwa Leo NIMEJIPANGA Vilivyo Na Kama Yeye Ndiyo AMEKUTUMA au Ndiyo Wewe Mwenyewe NAKUPA ONYO KALI NA LA MWISHO Kwani Nilichokiweka Hapo ni 50% Ya KASHFA Zake / Zako Hapo TFF La Sivyo Nitakuja Na Kashfa Zingine Mbili Za ADIDAS Na MDHAMINI Mkuu Wa TFF Kisha WATANZANIA Waje KUKUTIMUA Hapo Karume. Nakustahi Mno! MASTER Wako Ameshikwa Pabaya Na Ndiyo Maana Hata SUTI Zake Zote Siku Hizi HAZIMKAI Na Kutwa Ni Mtu Wa Mawazo. Nasikia Leo Anataka Kujifanya Ni MR. SMART Kwa Kuwarudishia Watanzania Pesa Zao Za Tiketi Ya Mechi Iliyoota Mbawa. Mwambie UUNGWANA Wake Huo HAUTAMSAIDIA Na Watanzania Tunataka Kujua Zile Meseji 17 Walizonazo Wale Jamaa Wawili Waliohojiwa Ni Za Nani Na Ile Sauti Katika Simu Zao Ni Za Nani. Watu Sasa Tumeamua KUTENDEA Haki FANI Zetu ZILIZOTUKUKA Za Investigative And Critical Thinking Journalism! TUTAHESHIMIANA Mwaka Huu.
Si useme tu kuwa Jamal Malinzi!!!!!!!, mbona unapata shida ya kuuma uma meno wakati muhusika anajulikana!!!!????Hii kashfa itaondoka na mtu tena huyu Malinzi ndio tatizo.
ni mganganjaa tu pale Lb7 tawi la kanda ya ziwakwan ww humjui uyu ni nani?,, mtu mkubwa uyu
Kwa kweli ianasikitisha sana. Kuna siku nilikuwa nasikiliza kipindi cha michezo cha Clouds FM, Alex Luambano kwa kujiamini kabisa alisema atatuwekea mawasiliano ya sauti kati ya watu waliokuwa wakilifanya hili dili na kiongozi mkubwa saana katika soka. Nikaa uzuri ili kumsikiliza kwa bahati mbaya akaweka matangazo, nikasubiri huo ubuyu, alivyorudi hewani kaja namengiiine kabisa, akapotezea kama kulikuwa hakuna kitu. Nikajua hiyo ndiyo kampa kampa tena! Mbwigaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Hii kashfa itaondoka na mtu tena huyu Malinzi ndio tatizo.
Kwa kweli ianasikitisha sana. Kuna siku nilikuwa nasikiliza kipindi cha michezo cha Clouds FM, Alex Luambano kwa kujiamini kabisa alisema atatuwekea mawasiliano ya sauti kati ya watu waliokuwa wakilifanya hili dili na kiongozi mkubwa saana katika soka. Nikaa uzuri ili kumsikiliza kwa bahati mbaya akaweka matangazo, nikasubiri huo ubuyu, alivyorudi hewani kaja namengiiine kabisa, akapotezea kama kulikuwa hakuna kitu. Nikajua hiyo ndiyo kampa kampa tena! Mbwigaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Sasa hili unalolisema linanikumbusha uwepo wake, yawazekana siku ile Bwana Alex Luambano alipotaka kutujuza kuna kanuni zilimfunga na wengi tunaelewa uandishi wa kiuweledi unatakiwa ubalance story na kwa kuwa muda ulikuwa hautoshi nikajua habari ile ilimshinda kuutangazia umma.
Ndugu Gentamycine, kaza uzi baba hivi ndivyo taaluma inavyotaka, kuna watu wapuuzi wengine wanataka kulifanya soka letu kama taasisi ya familia yake.
Jamal Malinzi anahusika kwenye hili sakata ndio maana yupo kimya muda wote kama vile hajui kinachoendelea kwenye mpira wetu wa miguu. Juzi tena huko Katavi kuna timu tena zilipanga matokea baada ya timu moja kushinda goli 16-0 kwenye mchezo mmoja. Hili kama halitadhibitiwa mapema litatokea hata kwenye ligi kuu siku za hivi karibuni.
Hili suala JAMAL MALINZI anahusika kwa 100% na siku ya mechi alikuwa anawasiliana na mtu ambaye alikuwa anaratibu matokeo ya viwanja vyote viwili na mambo yako wazi. Ajabu na kweli,kamati ya akina Tarimba inajua hilo ila ikataka kugeuza mpira kwa baadhi ya viongozi wa mikoa ili waadhibiwe kuficha upuuzi wa Malinzi. Angalia watu wa Polisi Tabora wanalalamika kwa kutoa ushahidi lakini TFF iliyobobea rushwa haitaki kusikiliza. Mimi nimemwambia Malinzi,na ninaomba nirudie humu tena kuwa,MWISHO WA MALINZI NI MBAYA SABABU ATAPATA AIBU ISIYOWEZA KUBEBEKA USONI KWAKE
Mambo ya kuoneana haya bado yanaendelea kuitafuna nchi hii gentamycine tupo pamoja kwa hili maana kuna vitu vingine vipo wazi kabisa huhitaji collage education kuvijua hili lisipo fanywa kwa haki sijui soka letu litazidi kudidimia kabsaa wote walio shiriki kuratibu hujuma hii wawajibike wakishindwa wawajibishwe.Tulijua hizi taasisi ya majeshi nidhamu na uadilifu ndio dira yao kumbe wa hovyo kabisa.
kama habari zako ni za huongo na uchochezi kwanini nisikuambie kuwa ni pumba tu?
swissme
We unaona kufungwa hizo goli pekee ndio upangaji matokeo? Unawaruhusu watu waende bonanza na kisha baadae unaona kuwa baadhi ya timu kuwa na viporo tena bila sababu huku wasemaji wao wakijigamba ni upangaji pia matokeo. Unatoaje favour pale pasipokuwa na favour? Tunajua una mechi za kimataifa cheza uje umalize viporo,hakuna kitu yaani inaonekana sababu Rambaramba pesa IPO na Maanjii pesa IPO basi wengine wasiwatishe,haikubaliki. Sasa viongozi wote TFF na Bodi ya ligi wamekuwa mabubu mpaka wakumbushwe majukumu yaoJamal Malinzi anahusika kwenye hili sakata ndio maana yupo kimya muda wote kama vile hajui kinachoendelea kwenye mpira wetu wa miguu. Juzi tena huko Katavi kuna timu tena zilipanga matokea baada ya timu moja kushinda goli 16-0 kwenye mchezo mmoja. Hili kama halitadhibitiwa mapema litatokea hata kwenye ligi kuu siku za hivi karibuni.
We unaona kufungwa hizo goli pekee ndio upangaji matokeo? Unawaruhusu watu waende bonanza na kisha baadae unaona kuwa baadhi ya timu kuwa na viporo tena bila sababu huku wasemaji wao wakijigamba ni upangaji pia matokeo. Unatoaje favour pale pasipokuwa na favour? Tunajua una mechi za kimataifa cheza uje umalize viporo,hakuna kitu yaani inaonekana sababu Rambaramba pesa IPO na Maanjii pesa IPO basi wengine wasiwatishe,haikubaliki. Sasa viongozi wote TFF na Bodi ya ligi wamekuwa mabubu mpaka wakumbushwe majukumu yao