Uchunguzi kashfa ya upangaji matokeo FDL

Uchunguzi kashfa ya upangaji matokeo FDL

kwanza mnajaza server za JF kwa vipost vyenu vya kipumbavu pumbavu na kutunga tunga tuuu, umbea umbea tuu, kwa kweli mnastahili kuitwa mashoga....., nyambaf kabisa!
 
Hajakosea ila lile kwa kuwa liliwa-fever Simba ndio maana mkuu GENTAMYCINE huta
Hajakosea ila kwakuwa ile kanuni iliwa-fever Simba ndio Maana mkuu GENTAMYCINE hutaki hili likumbukwe la mchezaji kuchagua mechi ya kucheza kama akiwa ameonyeshwa kadi 3 kwa michezo tofauti tofauti. Lakini pia lazima lisemwe kukwawa lilitokea wakati wa Uongozi wa Malinzi ili kujua yote Mabaya aliyoyafanya. Mbona mnakuwa wachungu watani mkitajwa kwa hili la kadi 3 za njano??????
...wacha hizi mambo bana;mbona nyie mmesahau Muro alivyomtolea maneno ya kashfa Manara, toka mwaka jana mpaka leo kimyaaaa...labda hiyo kamati ya maadili itakaa Dec mwaka huu,tusubiri..!!
 
kama habari zako ni za huongo na uchochezi kwanini nisikuambie kuwa ni pumba tu?

swissme
Tatizo lako wewe ni bwana shamba na unataka kukosoa hata masuala ya mpira/ soka
 
Hatimaye Haki imetendeka wamezishusha timu za Geita FC, Polisi Tabora JKT Oljoro hadi daraja la pili, na sababu JKT Kanembwa ilkuwa ishashuka imeshushwa hadi ligi ya Mkoa
 
Back
Top Bottom