Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...wacha hizi mambo bana;mbona nyie mmesahau Muro alivyomtolea maneno ya kashfa Manara, toka mwaka jana mpaka leo kimyaaaa...labda hiyo kamati ya maadili itakaa Dec mwaka huu,tusubiri..!!Hajakosea ila lile kwa kuwa liliwa-fever Simba ndio maana mkuu GENTAMYCINE huta
Hajakosea ila kwakuwa ile kanuni iliwa-fever Simba ndio Maana mkuu GENTAMYCINE hutaki hili likumbukwe la mchezaji kuchagua mechi ya kucheza kama akiwa ameonyeshwa kadi 3 kwa michezo tofauti tofauti. Lakini pia lazima lisemwe kukwawa lilitokea wakati wa Uongozi wa Malinzi ili kujua yote Mabaya aliyoyafanya. Mbona mnakuwa wachungu watani mkitajwa kwa hili la kadi 3 za njano??????
Tatizo lako wewe ni bwana shamba na unataka kukosoa hata masuala ya mpira/ sokakama habari zako ni za huongo na uchochezi kwanini nisikuambie kuwa ni pumba tu?
swissme