DOKEZO Uchunguzi: 'Makanisa ya Kiroho' na shuhuda FEKI kuwahadaa Watanzania - 2

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kumbuka hata MPINGA KRISTU yupo kazini hataki watu wamjue KRISTO YESU ni nani kwao, lakini neno linasema mwisho hautafika mpaka neno lihubiriwe kila pembe ya dunia, acha watu wazunguke weee lakini litawafikia tu neno la ukweli na uchaguzi utafanyika,

Halafu neno la uongo huwa na mwisho mbaya.
 
wiki kama 2 hv nilikwenda kawe.pale uwanjan nikaona wamama wawili wanarushiana ngumi .mara akaja polis jamii akamfunga kamba mmoja.akawaacha waende kanisani.sijajua kama alipona ule uchizi
 
Kuna shuhuda ukizisikia utatamani ucheke kwa sauti hapohapo walai!!
Siku hizi mpaka waganga wa kienyeji wameiga mambo ya shuhuda. Utawasikia redioni wanatangaza biashara zao halafu wamewapanga watu wao wanapiga simu mara sijui babu ile dawa uliyonipa nimepata ujauzito nimejifungua mapacha, mara ile dawa uliyonipa mgodi wangu kule Mererani nimepata tanzanite nyingi sana....... !!!! Yaani full usanii. Na ukifuatilia siku kwa siku unagundua sauti ni zilezile. Anapiga mtu yuleyule anabadili jina na mahali alipo!!
 
Hao waumini sasa vichwa vyao ni zero brain
 
Hahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…