Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Uchunguzi uliofanywa kwenye maiti ya Albert Ojwang' umebainisha 'kujidhuru' si sababu ya kifo chake ndani ya Kituo cha Polisi Nairobi (Central Police Station).
Uchunguzi huo umebaini kuwa Albert alifariki kutokana na majeraha ya kichwa, kubanwa shingo, na majeraha mengi ya tishu laini, ambayo yanaweza kuwa yalitokana na mateso na mashambulizi muda mfupi kabla ya kifo chake.
Kwa hivyo, wanapatolojia wamehitimisha kuwa Albert aliuawa na hakufariki kwa kujiua kama ilivyodaiwa na polisi.
Pia soma:
===
An autopsy done on the body of Albert Ojwang' has ruled out 'self-injury' as the cause of the teacher's death inside Central Police Station in Nairobi.
The examination has revealed that Albert died from head injuries, neck compression, and multiple soft tissue traumas, which might have been as a result of torture and assault moments before his death.
Pathologists have therefore concluded that Albert was killed and did not die by suicide as alleged by the police.
Source: BuzzroomKenya

- Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X Linalodaiwa Kumkashifu Kiongozi Mkubwa
- Mbunge Joyce Atieno aliyeenda kutizama mwili wa marehemu Ojwang ametimuliwa na vijana wenye hasira kali