Uchunguzi umebainisha kuwa Ojwang hajajiua kama taarifa ya polisi ilivyoeleza awali bali ameuliwa

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Uchunguzi uliofanywa kwenye maiti ya Albert Ojwang' umebainisha 'kujidhuru' si sababu ya kifo chake ndani ya Kituo cha Polisi Nairobi (Central Police Station).

Uchunguzi huo umebaini kuwa Albert alifariki kutokana na majeraha ya kichwa, kubanwa shingo, na majeraha mengi ya tishu laini, ambayo yanaweza kuwa yalitokana na mateso na mashambulizi muda mfupi kabla ya kifo chake.

Kwa hivyo, wanapatolojia wamehitimisha kuwa Albert aliuawa na hakufariki kwa kujiua kama ilivyodaiwa na polisi.

Pia soma:

===

An autopsy done on the body of Albert Ojwang' has ruled out 'self-injury' as the cause of the teacher's death inside Central Police Station in Nairobi.

The examination has revealed that Albert died from head injuries, neck compression, and multiple soft tissue traumas, which might have been as a result of torture and assault moments before his death.

Pathologists have therefore concluded that Albert was killed and did not die by suicide as alleged by the police.

Source: BuzzroomKenya
 

Afadhali kidogo Polisi wa Kenya, natumaini kuwa Haki itatendeka kwa Wahusika waliofanya Uhalifu huu mbaya wa KUMUUA raia mwema
 
Aisee!Kwa hiyo hakujigonga "kidogo" kwenye kaukuta ka selo hadi akafwariki?RIP my boy,Ojwang!🫸🫷🧐
 
Hapa bongo yule mbunge aliyesoma sekondari miaka kumi na Tano angesema "wangemchoma kabisa mwili wake usipatikane"
 
Hiyo ndo kenya bana. Mtu kafa juzi leo tayari uchunguzi wa kifo umeshajulikana. Bongo yetu hii polisi wangesisitiza kajiua na daktari angepigilia msumari kajiua. Au Tume ingeundwa na majbu yasingepatikana npaka yesu arudi.
 
Can you guess the results, if this Autopasy could have done by a pathologist from Tanzania in respect to police force being the Accussed side???
Kenyans, are very far ahead of TZ interms of governance and citizenship.
 
Ojwang ndio kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…