LIGEDENGE 1
Senior Member
- Nov 15, 2013
- 184
- 29
Wahusika wa haki za wafanyakazi piteni katika shule hii. Watumishi wananyanyasika sana, si mwalimu wala mfanyakazi wa kawaida. Hawalipi wafanyakazi mishahara kwa muda muafaka. Mishahara inalimbikizwa hadi miezi 7 hadi 10 mtu hajalipwa haki zake. Ukijifanya mfuatiliaji, unapelekwa polisi unaswekwa rumande kwa nguvu ya pesa ya huyo mama ambaye ni mtu toka nchi za wenzetu weupe.