Uchunguzi wa kina ufanyike katika shule ya ST. Benedict Njombe

Uchunguzi wa kina ufanyike katika shule ya ST. Benedict Njombe

LIGEDENGE 1

Senior Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
184
Reaction score
29
Wahusika wa haki za wafanyakazi piteni katika shule hii. Watumishi wananyanyasika sana, si mwalimu wala mfanyakazi wa kawaida. Hawalipi wafanyakazi mishahara kwa muda muafaka. Mishahara inalimbikizwa hadi miezi 7 hadi 10 mtu hajalipwa haki zake. Ukijifanya mfuatiliaji, unapelekwa polisi unaswekwa rumande kwa nguvu ya pesa ya huyo mama ambaye ni mtu toka nchi za wenzetu weupe.
 
Wahusika wa haki za wafanyakazi piteni ktk shule hii. watumishi wananyanyasika sana,si mwl wala mfanyakazi wa kawaida. hawalipi wafanyakazi mishahara kwa muda muafaka. mishahara inalimbikizwa hadi miezi 7 hadi 10 mtu hajalipwa haki zake. ukijifanya mfuatiliaji,unapelekwa polisi unaswekwa rumande kwa nguvu ya pesa ya huyo mama ambaye ni mtu toka nchi za wenzetu weupe.

Yana ukweli haya mkuu, isije ikawa unamchafulia jina la huyo mama, naifahamu hii shule since 2004, nilikuwa naishi nyumba mojawapo jirani na hii shule hapo Ramadhan, kila siku jioni nilikuwa naitwa nikanywe maziwa katika shule ya huyu mama ..!
 
Back
Top Bottom