Wahusika wa haki za wafanyakazi piteni ktk shule hii. watumishi wananyanyasika sana,si mwl wala mfanyakazi wa kawaida. hawalipi wafanyakazi mishahara kwa muda muafaka. mishahara inalimbikizwa hadi miezi 7 hadi 10 mtu hajalipwa haki zake. ukijifanya mfuatiliaji,unapelekwa polisi unaswekwa rumande kwa nguvu ya pesa ya huyo mama ambaye ni mtu toka nchi za wenzetu weupe.