Jamaa muda wake ulifika mwisho kwa mujibu wa mkataba wake, sasa hivi anafanya majukumu mengine.
Tatizo watu weusi tunawaona watu weupe ni saint sana ila mngejua chanzo cha utajiri wao na umarufu wao, wala usinge umizwa kichwa,
kama ni msomaji wa bible vizuri utajua kuwa tajiri anatengezwa kuwa tajiri, na maskini anatengenezwa kuwa maskini, yaani ni kwamba hakuna mtu anayejitengeza kuwa tajiri au maskini,
najua hili ni ngumu kwa wengi kuubali maana tumekuwa brainwashed kwa kiwango kikubwa sana, na wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana, kiasi kwamba ule uongo ndio umechukuliwa kuwa ukweli, na ukweli umechukuliwa ndio uongo, hii ndio kazi ya mtawala wa dunia hii.