boneagain2022
New Member
- Aug 27, 2022
- 3
- 4
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasan, Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama (Mb), Mkurugenzi Mkuu Dkt. Irene Isaka pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Eliud Sanga. Mwaka 2022 TAKUKURU walipokea taarifa za Wizi wa fedha za Umma uliokuwa unafanywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma Ndg. Fidelis Stephen Shauritanga pamoja na Maafisa wa Mkoa huo wakishirikiana na Mhasibu CPA Emmanuel Magese kutoa fedha za NHIF na kugawana. Wizi huu ulifanyika kuanzia 2018 hadi 2022. Fedha hizi zililipwa kwa ajili ya Watumishi kusafiri Wilayani kutafuta Wanachama Wapya, Kukagua Waajiri pamoja na Kukagua Vituo vya Huduma za Afya. Hivyo, fedha zilikuwa zinalipwa na Watumishi wanagawana lakini hawasafiri bali wanasafiri Watumishi wachache.
Baada ya TAKUKURU kufanya uchunguzi pamoja na kuwaita Watumishi wote na kuwahoji, Meneja wa Mkoa pamoja na Maafisa walikiri kulipana fedha bila kusafiri jambo ambalo ni Wizi wa Fedha za Umma n ani Kinyme na Maadili ya Utumishi wa Umma pamoja na Sheria, Kanuni na Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma. Kwa Wastani, katika kipindi cha miaka minne Meneja alilipwa malipo hewa Tshs. 60,000,000 na kila Afisa alilipwa Tshs. 30,000,000. Hivyo, wastani wa fedha zilizoibiwa ni Tshs. 210,000,000. Watumishi waliojilipa fedha na kuuibia Mfuko ni hawa wafuatao;
Bw. Fidelis Stephen Shauritanga (Meneja wa Mkoa Dodoma)
Linus Kaana (Afisa Uanachama)
Sunday Matoi (Afisa Uanachama)
CPA Emmanuel Magese (Mhasibu Mwandamizi)
Zuena Hassan (Afisa Uanachama)
Ashiel Faustine (Afisa Uanachama)
Pamoja na Watumishi hawa kukiri kuuibia Mfuko na kuomba kurudisha fedha hizo, Mkurugenzi Mkuu aliyemaliza muda wake Bw. Bernard Konga na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala Ndg. Lameck Kabeho walikuwa na taarifa ya WIZI huu lakini waliwalinda Watumishi hawa hadi leo. Kwa mujibu wa Kanuni za Utumishi wa Umma Kifungu cha 42 (1) Aya ya 1,2,8 na 13, kwa kutumia ushahidi wa TAKUKURU watumishi hawa walipaswa kupewa Notisi pamoja na Hati za mashitaka kutokana na WIZI huu. Watumishi hawa hadi LEO hawajachukuliwa hatua za kinidhamu.
Kwa kuwa Mhe. Rais tayari ulishachukua hatua za kumuondoa Mkurugenzi Mkuu Bw. Konga na kumteua Dkt. Itene Isaka, ili kurudisha hadhi ya Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya, naomba kuwasilisha orodha hii ya Watumishi ili suala hili lichunguzwe na upekuzi ufanyike na hatua za kinidhamu zichukuliwe bila kumuonea Mtumishi yeyote.