mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Awawezi kufanya ujinga wowote ule maana wanajua kabisa Urusi anawatafuta waingie kwenye 18 yake ili awafanye kuwa makoloni yake.Hii ndo ilikua sababu nzuri ya NATO kuingia front lakini nawaona nao wanatepeta.
Usishangae miaka ya baadae Urusi kutuzia watumwa wa kizungu kutoka nchi za ulaya.na sisi tulipe kisasi walivyotufanyia hao mbwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]