Awawezi kufanya ujinga wowote ule maana wanajua kabisa Urusi anawatafuta waingie kwenye 18 yake ili awafanye kuwa makoloni yake.
Usishangae miaka ya baadae Urusi kutuzia watumwa wa kizungu kutoka nchi za ulaya.na sisi tulipe kisasi walivyotufanyia hao mbwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]