UCL: Deportivo la Coruna, timu iliyowahi kufanya maajabu


Bao la pili la Liverpool dhidi ya AC Milan kwenye 2005 Uefa Champions League final lilitokana baada ya Vladmir Smicer kumzungusha mkongwe Paolo Maldini na akapotea kwenda sokoni. Maldini alikuwa beki.mahiri lakini chenga walimla
 
Kama hujui mpira si ukae kimya. JELENGA kaongea ukweli sana wewe huna hata data unabisha tu. Hamnazo wewe!


wewe unaetetea wapuuzi nawe ni mpuuzi...
Manuel Cesar Rui Costa mtemi wa zamani wa Benfica, Fiorentina na Rosonelli hakuwahi kuwa mshambuliaji mwenye uchu.

Rui Costa mwenye kutafuna big G dakika zote 90 alikuwa ni kiungo mchezeshaji na sio mshambuliaji mwenye uchu.

Milan ilikuwa na twin striker pale mbele.
1. $heva
2. Pipo the poucher, ambae inaaminika pindi anapotupia kamba basi hata washabiki wa timu pinzani hushangilia nae...

Vitu kama hamjui ni vizuri kuwasubiri watu wenye kumbukumbu na soka na si kuja na kuanza kuleta porojo hapa...
 
Mkuu shifta Said, nahisi punguani ni mama yako aliyekuzaa, kwa vile hajakulea katika mazingira ya utu kwa watu.


mtu kama wewe ndio huwa unapata mimba bila kujuwa nani kakutundika...

Mtu yeyote anaekuja JF basi anatakiwa awe amekamilika kwa data...na si kutuletea vitu vya uongo uongo hapa.

Kama haupo nondo kwenye data basi weka wowowo chini na usome threads za wenzio...

Rui Costa ni kiungo mchezeshaji kwa kila alipokuwa.
Alikuwa anamchezesha Batistuta pale Fiorentina...kisha akaja kuwachezesha Inzaghi, Sheva, Rivaldo na Crespo pale Milan.
Na hata chama la taifa mara kibao tu alishatoa assist kwa Nuno Gomez...

Kama vitu hamjui fungeni mabakuli hayo...
 


then ningekuwa nimekutukana ningekuwa nipo kwenye BAN...

mie nimekwambia ukweli, na sijutii kukwambia ukweli huo.
 
Baraja alikuwa Valencia..kama sijakosea.

Hujakosea Mkuu, Ruben Baraja alikuwa Valencia. Ni miongoni wa viungo waliong'arisha role ya holding midfielder pamoja na Claude Makelele na Gilberto "The invisible wall" Silva. Jamaa alikuwa anakaba balaa.
 
Those days...it was very nice. Nimewakumbukapia Leeds United ya kocha David O'Leary na captain wao Lucas Radebe(South Africa)... kiungo Olivier Darcout, washambuliaji Allan Smith na kitasa Rio Ferdinand...to mention afew!

Marc Viduka nae alikuwepo
 
Kaka nakuita kaka nikiamini ni mwanaume, umenikumbusha mbali sana, nakumbuka mechi ya Nusu fainali walitolewa na Porto ya Morinho nakumbuka mashabiki wa Deportivo walilia sana, refa Collina aliwapa Porto penati ya kimagumashi sana.

Kaka haya mambo mengine ukikumbuka unaweza kulia watu wakashangaa fainali porto ikakutana na monaco
 
Mkuu vizazi vya sasa hawawezi kuijua Deportivo de la coruna maana imeshuka kiwango na enzi hizo ligi ya spain haikuwa maarufu sana kama sasa.

hii timu ilikuwa hatari sana iliipiga manchester united home and away mara mbili. Walikuwa wanavaa jezi za mistari ya bluu na nyeupe alafu jezi zao zilikuwa na chata ya FADESA.
 
jamani kuna mpambano ulipigwa kati ya redstar belgrade na olmipic marseile. Iliku mwisho wa miaka ya 80.matokeo yake yalikuwa yakushangaza zaidi. Mechi ya kwanza ilikuwa 5-0 mechi ya marudiano waliofungwa 5 wakashinda 6-0. Sikumbuki vizuri ilikuwa kwenye mashindano gani. Uefa champions league au kombe la washindi barani ulaya ambalo kwa sasa halipo tena.

Nakumbuka rais wa marseile alikuwa bernard Tapia. Ambaye baadae alikuja kufungiwa na uefa asijihusishe na soka nadhani kwa kipindi cha miaka 5. Miaka michache baadae marseile ilikula rungu na FA ya ufaransa na kushushwa daraja kwa fitna na upangaji wa matokeo.

Nipo tayari kukosolewa.
 
Hawa jamaa walikuwa hawatabiriki kabisa.Sijasahau ile mechi yao dhidi ya timu ya Okocha(PSG?) ,Deportivo walikuwa washapigwa goli 2 au tatu nadhani hadi zimebakia dk 15 wakamuingiza Walter Pandiani,wakapata kona 4 na zote Pandiani aliunganisha vichwa wavuni,mpira ukaisha wafaransa hawaamini kilichowakuta!Deportivo walikuwa wagumu sana,saana!yule kocha wao anavaa miwani aliitwa nani vile?huyo mwehu anaitwa Valeron we acha tu.Juve tulikuwa tukikutana nao nazima tv dk 15 halafu nawasha dk 2 kuchungulia matokeo huku jasho linanitoka ha ha haa Mourinho upo?
 
Last edited by a moderator:

Hapo pekundu. Javie Irurruta.
 
Last edited by a moderator:

Nipo Mkuu wangu, imebidi niusome uzi wote nikakutana na hoja za shifta zikanivunja mbavu balaa.

Hiyo Deportivo la Coruna, the Galicians ya Irureta nawakumbuka kina Roy Makaay, Pandiani, Diego Tristan, Alberto Luque na mpiga vichwa Juan Carlos Varelon. Ila hakuna mtu alikua ananikosha kama huyu maleft wao Alberto Lugue ambaye majeraha yalimlazimu kumaliza mpira kabla ya muda wake.

Pamoja na ubabe wao kuna match walipigwa 8-3 na AS Monaco ya kina Olivier Giuly,Patrice Evra na Mcroatia Dado Prso(aliyewalala goli 4 peke yake siku ya hicho kipigo cha goli 8) nadhani Adebayor alikua bado mbulula akitokea bench.
 
Last edited by a moderator:
Arsenal ya unbeaten ilikula 2-0 home and away ktk makundi 2004,Man Utd alikula 2-3 na 1-2 ktk makundi ucl 2001 jamani nauliza Gang Chomba yupo wapi?asichezee waspain hao ndio Atletico Madrid wamemfunza adabu na kumkimbiza Chomba dimbani JF Sports and Entertainment Forums naskia yupo jukwaa la mapisha na kabadilisha username,aje basi tujadili timu ye2 ya Abajalo tuandae mikakati ya kwenda ligi kuu
 

We ndo punguani, rui Costa alikuwepo millan.kama unabisha hali je unaikumbuka Milan ya Franco baresi ? Mpira uliopigwa na super depo ulikuwa ni balaa, lkn Milan wana history mbaya ya kugeuziwa matokeo mara nyingi tu,rejea Milan vs PSV ya akina ji sung park au Milan vs Liverpool pale instabul
 
Hapo pekundu. Javie Irurruta.

Hapo kwenye Javie ni Javier na hapo kwenye Irurruta ni Irurreta mkuu..teh teh,ahsante kwa kunikumbusha pweza!wewe ulikuwa unamkubali nani kwenye kile kikosi?mimi binafsi nilikuwa nakoseshwa raha na yule Juan Carlos Valeron,Roy Makaay na Walter Pandiani!hawa watu walikuwa deadly!usiombe wa-pay a visit kwa golikipa wako!
 

Tunafanana mkuu mimi kulikuwa na Nourdine Naybet,Juan Carlos Valeron na muuaji Walter Pandiani.Hivi Javier Irureta yuko wapi?
 

Hawa Pandiani na Tristan walikuwa mapacha hatari sana,kuna mmoja alikuwa anawatesa sana Real Madrid nakumbuka kuna mwaka walimfunga Madrid kombe la mfalme
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…