AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
punguani wewe...
Hakuna mchezaji aliewahi kumpiga chenga paolo maldini. Hata de lima mwenyewe alimshinda kwa mbio tu ila hakumpiga chenga.
Pia milan hawakuwahi kuwa na mshambuliaji mwenye uchu alieitwa rui costa.
Kwa kifupi
umekurupuka bila kuchamba
Bao la pili la Liverpool dhidi ya AC Milan kwenye 2005 Uefa Champions League final lilitokana baada ya Vladmir Smicer kumzungusha mkongwe Paolo Maldini na akapotea kwenda sokoni. Maldini alikuwa beki.mahiri lakini chenga walimla