UCL: Deportivo la Coruna, timu iliyowahi kufanya maajabu



wewe zeZeta wapi nimepinga rui costa hajawahi kukiputa rossonelli?
Nimekataa habari inayosema rui costa alikuwa mshambuliaji.
Soma uelewe, na si kukurupuka tu
 
Tunafanana mkuu mimi kulikuwa na Nourdine Naybet,Juan Carlos Valeron na muuaji Walter Pandiani.Hivi Javier Irureta yuko wapi?


mie bana kuna wabrazil watatu...
1. Mauro $ilva
2. Donato Gama da Silva
3. Djalma Feiltosa Fotso Diaz almaaruf kama Djalminha.

Huyu Djalminha aliwahi kumtwanga ndosi Iruretta na ndo ikapelekea asiitwe timu ya taifa 2002...

Huyo Donato alikuwa anamaliza pale nyuma na Naybet.

Na Mauro Silva alikuwa anakamata dimba.
Kwenye fainali ya word cup mwaka 1994 huyu bwana alikuwa anakamata dimba na Dunga.
Na siku ya fainali alipiga bunduki ya maana kisha kipa wa Italy Pagriuca akaidaka na kisha ikamtoka na kwenda kugonga nguzo na hatimae ikamrudia tena na akaidaka...kisha akaenda kuubusu mwamba coz ulimwokoa...

Data kama hizi ndio mtoa mada unatakiwa uzishushe, na sio kuleta porojo tu.

Jiulize kwa nn sijamsemea mbovu belo, ziroseventwo, gutierez, mourinho, juve2012, na manguli wengine?...coz hawa ni watu kweli wa soka na si wakurupukaji...

Ntarudi
 
Kabla ya enzi za kina Diegeo Tristan kulikuwa na enzi za Bebeto wa Brazil hapo Deportivo la Coruna, rejea:

"Bebeto spent four years in Spanish football at Deportive La Coruña, scoring an impressive 86 goals in 131 games. Bebeto became top score in La Liga in his first season at Deportive, scoring 29 goals in the 1992-93 season. In the next season, 1993–94 season, Deportivo had the chance to win their first ever La Liga title by beating Valencia in the last match of the season. In a very evenly matched contest Deportivo had a golden opportunity to seal the victory and thus the league title. They were given a penalty kick just minutes from the end. The official penalty taker all season had been Bebeto (after Donato, who wasn't in the field), who this time, refused to take the penalty. Eventually, Miroslav Đukić took the penalty and failed (0-0), effectively handing Barcelona the title" - http://en.wikipedia.org/wiki/Bebeto#Deportive_La_Coru.C3.B1a
 

Mauro Silva kwenye world cup ya 1994 alikua na baba yake mzazi wa huyo bwana mdogo Thiago Alcantare wa Bavarians kwenye dimba la chini, shavu la kulia unamkuta Leonardo(mbrazil mzungu aliyemtia kiwiko yule mmarekani mpaka akala nyekundu) mbele yake unamkuta Bebeto na mbrazil mwingine ambaye namuheshimu siku zote, mtu mzima Romario, aliwafunga wadutch goal kali sana kwenye semi finals.

Doh ukimuongelea Mauron Silva nakumbuka sana Brazil ya 1994 na Azzuri ya kina Baggio, Baresi, Maldini, Costacurta, Donadoni, Tassotti na kocha wetu wa sasa wa Bianconeri
 


je mtoa mada hiyo 94 alikuwa keshazaliwa?
 
Out of topic...
Kuna kiumbe aliitwa Mazinho...kisha kukawa na Maurisio Santos mkoba...
 
Deportivo pana watu wa kuitwa Manuel Pablo, lionel Scaloni na Capdevila...
Kisha kuna winga alikuwa ana sura kama taahira flani hivi akiitwa Fran...
 

Mkuu, Rivaldo naye alikuwa anachezeshwa?
 
Out of topic...
Kuna kiumbe aliitwa Mazinho...kisha kukawa na Maurisio Santos mkoba...
shifta Mazinho a.k.a Lomar do Nascimento ndio baba mzazi wa Thiago kama nilivyosema hapo juu, hicho kitasa kilikua cha pekee
 
Last edited by a moderator:
Deportivo pana watu wa kuitwa Manuel Pablo, lionel Scaloni na Capdevila...
Kisha kuna winga alikuwa ana sura kama taahira flani hivi akiitwa Fran...

Bila shaka atakua Francisco Javier González Pérez
 
mi namkumbuka altor duscher na mauro silva hapo dimbani. Man u alikufa tatu kwa mbili.
 
wewe zeZeta wapi nimepinga rui costa hajawahi kukiputa rossonelli?
Nimekataa habari inayosema rui costa alikuwa mshambuliaji.
Soma uelewe, na si kukurupuka tu

We zuzu uwe unaandika comment zako fresh,kiukweli ulicomment vibaya kwa kuonyesha kuwa mreno Costa hajawahi kukipiga Milan lkn umerekebisha Leo, bravo mkuu sisi wote ni wana sports ingawa machama yangu mwaka huu ni majanja tupu..! Lkn tutasimama tu,tunaanza na liver jpili
 

kitambo mkuu, ahsante kwa masahihisho. Pale la coruna mi nilikuwa namzimia Albeto Lique, ambaye baadae alikwenda pale st james park kukipiga na kaka mkuu, Alan Sheare. Ingawa pale hakufanya makubwa. Mourinho amekumbusha mechi dhidi ya monaco ambayo walikula 8-2...dah kweli kitambo
 
Last edited by a moderator:

kikosi cha brazil 1994. Kilikuwa na manguli wafuatao.
1. Tafarel
2. Maurius Santos
3. Jorginho
4. Aldair
5. Branco
6. Mauro Silva
7. Leonardo
8. Dunga
9. Mazinho
10. Romario na
11. Bebeto
sub
Rai, Zinho, Cufu, viola, Ronaldo di lima akiwa bado kinda, lakini hakupa nafasi ya kucheza...
 


ndo madhara ya viloba na ugolo.
Mie nimempinga gagulo mwenzio aliesema milan walikuwa na mshambuliaji mwenye uchu alieitwa Rui Costa.

Rui Costa alikuwa ni kiungo.
 
leo jumanne ya tarehe 10/04/2018 As Roma wamelipa hio rekodi kwa kumfurusha nje ya mashindano Barcelona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…