1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
huyo TRISTIAN alikuwa moto, aliwai kuharibu birthday pale MADRID,Dipotivo lilikua chama langu,pia iliwai fanya hivyo kwa TIMU ufaransa,umenikumbusha Diego Tristan,Roy Makaay(mholanzi),alafu kulikua kiungo anaitwa Ruben Baraja,sina Uhakika kama alikua Dipotivo
hawajui, umenena mkuu, hawajui Flo, patrescu,[emoji23] [emoji23]Mkuu umetema madini! Vizazi vya sasa wanaijua Chelsea ya Abramovich. Wengine hata Deniss Wise hawamjui na bado wanajiita mashabiki wa darajani!
Deportivo ilikuwa moto kote kuanzia La Liga hadi UCL.
Yule mmorocco alikuwa anakipiga.
Mkuu unampata Djalminha,alikuwa sumu kwa technique pamoja na dead ballskitambo mkuu, ahsante kwa masahihisho. Pale la coruna mi nilikuwa namzimia Albeto Lique, ambaye baadae alikwenda pale st james park kukipiga na kaka mkuu, Alan Sheare. Ingawa pale hakufanya makubwa. Mourinho amekumbusha mechi dhidi ya monaco ambayo walikula 8-2...dah kweli kitambo
Nyie mnanikumbusha frank mohamed sinclair mjamaika flan fullback kifupi hivi huku mtu mzima Michael duberry akila mkungu kipande cha mtu hivi hapo kati ndio Denis wise na gustivo poyet (the radio )wakila dimba.hawajui, umenena mkuu, hawajui Flo, patrescu,[emoji23] [emoji23]
Hawa walikuwa Chelsea? Hiyo derpotivo ilikuwa na nourdin noybet mmorocco huyu Walter pandiani walikuwa wanamsumbua sana babu fergie hawa depoNyie mnanikumbusha frank mohamed sinclair mjamaika flan fullback kifupi hivi huku mtu mzima Michael duberry akila mkungu kipande cha mtu hivi hapo kati ndio Denis wise na gustivo poyet (the radio )wakila dimba.
Juan Valeron alikuwa mshindani mkubwa wa Djalminha pale Super Depo.Mkuu unampata Djalminha,alikuwa sumu kwa technique pamoja na dead balls
Ila alikuwa mkorofi hadi akamtia ndoo irureti mazoezini
Pana mtu nilim quote aliwaongelea popescu na tore andre Flo ndo nami nikawangezea hawa niliowataja .Hawa walikuwa Chelsea? Hiyo derpotivo ilikuwa na nourdin noybet mmorocco huyu Walter pandiani walikuwa wanamsumbua sana babu fergie hawa depo
Usimsahau dimateo mkuu Chelsea manager pia former playerPana mtu nilim quote aliwaongelea popescu na tore andre Flo ndo nami nikawangezea hawa niliowataja .
Swadakta maneno yako wote akina guillit na gianluca vialli walipata kutoa huduma hapo.Usimsahau dimateo mkuu Chelsea manager pia former player
Ila dimateo kaacha historia yake pale mkuu kawapa champion league pia vialli kawapa uefa ndogoSwadakta maneno yako wote akina guillit na gianluca vialli walipata kutoa huduma hapo.
Mkuu naona uko full nondo.Deportivo kuna game walicheza na man u nyumbani wakapigwa goli la mapema kabisa dk ya 5 kama sikosei.Baada ya hapo nadhani refa aliweka filimbi mfukoni kwa sababu man u walitafutwa, zilipigwa pasi nyingi sijaona mpaka kesho,Walter pandiani akaja kuwau kwa goli 2 dk 5 za mwisho.Javier Irrurieta alikua bonge la kocha aisee pamoja na Hector Cupper japo walikua wanafundisha aina tofauti ya soka.
Kati ya mtoa mada na wewe nani punguani ,,mtoa mada katoa data zake lakini kwakua wewe ni punguani unabisha tu,,punguani wewe...
Hakuna mchezaji aliewahi kumpiga chenga paolo maldini. Hata de lima mwenyewe alimshinda kwa mbio tu ila hakumpiga chenga.
Pia milan hawakuwahi kuwa na mshambuliaji mwenye uchu alieitwa rui costa.
Kwa kifupi
umekurupuka bila kuchamba