UCL: Deportivo la Coruna, timu iliyowahi kufanya maajabu

UCL: Deportivo la Coruna, timu iliyowahi kufanya maajabu

Dipotivo lilikua chama langu,pia iliwai fanya hivyo kwa TIMU ufaransa,umenikumbusha Diego Tristan,Roy Makaay(mholanzi),alafu kulikua kiungo anaitwa Ruben Baraja,sina Uhakika kama alikua Dipotivo
huyo TRISTIAN alikuwa moto, aliwai kuharibu birthday pale MADRID,
 
Mkuu umetema madini! Vizazi vya sasa wanaijua Chelsea ya Abramovich. Wengine hata Deniss Wise hawamjui na bado wanajiita mashabiki wa darajani!
Deportivo ilikuwa moto kote kuanzia La Liga hadi UCL.
Yule mmorocco alikuwa anakipiga.
hawajui, umenena mkuu, hawajui Flo, patrescu,[emoji23] [emoji23]
 
kitambo mkuu, ahsante kwa masahihisho. Pale la coruna mi nilikuwa namzimia Albeto Lique, ambaye baadae alikwenda pale st james park kukipiga na kaka mkuu, Alan Sheare. Ingawa pale hakufanya makubwa. Mourinho amekumbusha mechi dhidi ya monaco ambayo walikula 8-2...dah kweli kitambo
Mkuu unampata Djalminha,alikuwa sumu kwa technique pamoja na dead balls
Ila alikuwa mkorofi hadi akamtia ndoo irureti mazoezini
 
Nyie mnanikumbusha frank mohamed sinclair mjamaika flan fullback kifupi hivi huku mtu mzima Michael duberry akila mkungu kipande cha mtu hivi hapo kati ndio Denis wise na gustivo poyet (the radio )wakila dimba.
Hawa walikuwa Chelsea? Hiyo derpotivo ilikuwa na nourdin noybet mmorocco huyu Walter pandiani walikuwa wanamsumbua sana babu fergie hawa depo
 
Mkuu unampata Djalminha,alikuwa sumu kwa technique pamoja na dead balls
Ila alikuwa mkorofi hadi akamtia ndoo irureti mazoezini
Juan Valeron alikuwa mshindani mkubwa wa Djalminha pale Super Depo.

Nyakati zimekwenda kasi sana, leo hii super depo wanapambana wasishuke daraja.
 
Hawa walikuwa Chelsea? Hiyo derpotivo ilikuwa na nourdin noybet mmorocco huyu Walter pandiani walikuwa wanamsumbua sana babu fergie hawa depo
Pana mtu nilim quote aliwaongelea popescu na tore andre Flo ndo nami nikawangezea hawa niliowataja .
 
Deportivo kuna game walicheza na man u nyumbani wakapigwa goli la mapema kabisa dk ya 5 kama sikosei.Baada ya hapo nadhani refa aliweka filimbi mfukoni kwa sababu man u walitafutwa, zilipigwa pasi nyingi sijaona mpaka kesho,Walter pandiani akaja kuwau kwa goli 2 dk 5 za mwisho.Javier Irrurieta alikua bonge la kocha aisee pamoja na Hector Cupper japo walikua wanafundisha aina tofauti ya soka.
 
Kaaaa kwa kikosi kile cha AC Milan kweli hayo yalikuwa maajabu
 
Deportivo kuna game walicheza na man u nyumbani wakapigwa goli la mapema kabisa dk ya 5 kama sikosei.Baada ya hapo nadhani refa aliweka filimbi mfukoni kwa sababu man u walitafutwa, zilipigwa pasi nyingi sijaona mpaka kesho,Walter pandiani akaja kuwau kwa goli 2 dk 5 za mwisho.Javier Irrurieta alikua bonge la kocha aisee pamoja na Hector Cupper japo walikua wanafundisha aina tofauti ya soka.
Mkuu naona uko full nondo.
 
punguani wewe...
Hakuna mchezaji aliewahi kumpiga chenga paolo maldini. Hata de lima mwenyewe alimshinda kwa mbio tu ila hakumpiga chenga.

Pia milan hawakuwahi kuwa na mshambuliaji mwenye uchu alieitwa rui costa.

Kwa kifupi
umekurupuka bila kuchamba
Kati ya mtoa mada na wewe nani punguani ,,mtoa mada katoa data zake lakini kwakua wewe ni punguani unabisha tu,,
 
Back
Top Bottom