Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Na foul zimepigwa aisee.....Tuache utani Leo card zimetolewa mazee
Agiza bia kabisa, mwali ashabebwa uyu.Mm Kama mzee wa bavarian, nipo hapa nasubiria tu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
TayariBayern, ndoo ni halali yao
okInabidi wafunge magoli manne au matano,nina imani kuna magoli matatu ya PSG