UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

Mliopo Germany hebu tuthibitishieni kuwa huko kuna timu zinatumia ndumba katika soka au la?
Maana haiwezekani hawa bayern mwanzo mwanzo wanakoswa wao tu tena nafasi za wazi! mwisho wenyewe ndio washindi rejea game zao za karibuni ukianzia ile mechi na barcelona
[emoji23]Mambo ya rupia ya mjerumani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwangu mimi mjerumani mweusi kwa kushinda kombe 🏆
 
Paris kuna watch party inaendelea. PSG leo wamewaruhusu watu kuingia Parc des Princes kushangilia timu yao. Yaani ni vurugu balaa. Ninachoona mimi wataambukizana corona na kipigo juu,na hizi bendera zao bora wakate vipande mapema ili viwasaidie kufuta machozi.
Uliona mbali sana.
 
Kivipi yani hawajamsainisha au.
Mkataba wake uliisha na sasa ana miaka 33, PSG wakasema hawatamuongezea mkataba.

Kwahiyo kabla ya msimu kuisha, jamaa akatangaza kuondoka. Akacheza game yake ya mwisho na mpaka sasa ndio hivyo jamaa ni free agent.

Niliskia tetesi kuwa Napoli wanataka kumrudisha mtu wao.
 
Alichezaga Ac Milan sio napoli
 
Ndiyo mana nilisema Jana kuwa mchezo wa timu kubwa kama Jana unaamuliwa tu na utumiaji mzuri wa nafasi ,Bayern hawakupata clear chance za maana but walitumia vizur hizohizo finyu walizopata kwa PSG wao walijua muda upo kumbe ndo ivo unayoyoma na ndio sasa utaona umuhimu wa kuwa na natural standing strike wanafaida mno kama kwenye mechi ya Jana MTU aina ya cavani walihitajika sana japokuwa tuchel haoni umuhimu wao, ndo mana wenzao Jana walianza na coman walisoma ramani jinsi ilivo
 
Hivi comman raia wa wapi
 
Mkataba wake uliisha na sasa ana miaka 33, PSG wakasema hawatamuongezea mkataba.

Kwahiyo kabla ya msimu kuisha, jamaa akatangaza kuondoka. Akacheza game yake ya mwisho na mpaka sasa ndio hivyo jamaa ni free agent.

Niliskia tetesi kuwa Napoli wanataka kumrudisha mtu wao.

Siku Cavani akikutana na PSG akiwa club nyingine atawafanya hamna.
 
Back
Top Bottom