upo mkuu...vp mizimu???hahaaaaaMzee mizimu ya kwetu imenambia ufaransa kombe ndo linatua huko
DahHuh hii nini mazee?
Naam watu wamechanwa chanwaNa PSG wakianza mechi kama walivyoianza kwa Atalanta... Lewandowsk na Gnabry watawachana wachana
PSG wamekosa goli nyingi kipindi cha kwanzaPSG hawaja tulia kabisa wanapoteza mipira wanacheza rafu za kijinga....
Kweli kijiji bila wazee ni fujo.
Walimtoa corman mfungaji wa goli la kuongoza ambaye kila assist zenye zilitishia kupata magolo zilitoka kwake
Haya mastaa kupitiliza ndo huwa yanaharibu mpira.Toa Mbape ingiza Icardi.
Hwalikua sahihi,Walimtoa corman mfungaji wa goli la kuongoza ambaye kila assist zenye zilitishia kupata magolo zilitoka kwake
Wapo wanajutia muda huu .kama Goli la mbape
Nakubaliana na wewe.Haya mastaa kupitiliza ndo huwa yanaharibu mpira.
Mpumbavu Sana Yule, Wala sio wa kumwonea huruma.Neymar ana roho ya kike sana.. Analia kama demu bhana!
Sasa ndio unamkubali Leo au?Duu Ila tuache utani jamani ,huyu kipa wa Bayern ni hatar sana.