Mpumbavu Sana Yule, Wala sio wa kumwonea huruma.
Ni kocha mpumbavu pekee anayeweza kumchezesha huyu dogo kwenye game yoyote ya muhimu kama ya Leo. Dogo anautoto sana.
Bila shaka anajutia alivoighalimu timu na utoto wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Man of the match nampa yeyeDuu Ila tuache utani jamani ,huyu kipa wa Bayern ni hatar sana.
Cavani hii game angewasaidiaNi kweli kwamba Neuer ni hatari sana, lakini pia PSG wanahitaji kuwa na mtu mwenye roho mbaya pale mbele. Leo nimewakumbuka sana Cavan na Ibra.
Hizi statistics za miaka ya sabini hazinaga makali. Tunataka latest kama ile 8-2 na barcelona
Sana. Neymar na Mbape wanaremba sana. Kulikuwa na goals za kutosha leo.Cavani hii game angewasaidia
Free agent kama sikosei
Bila utoto wa mbape game hii wangekufaupo mkuu...vp mizimu???hahaaaaa
Hizi statistics za miaka ya sabini hazinaga makali. Tunataka latest kama ile 8-2 na barcelona
Hii sub ndo imewasaidia PSG ama sivyo wangekula hata 5Verrati in
Parades out
Hana timu kwa sasa, ni free agent.
Ndo kawaida yake huyo jamaaIt is just a game. Neymar kalia balaa hadi huruma.
Hi Bayern sijui inawashinda nini??? mbona ikukutana na sisi Liverpool huwa wanalowa na kulegea.