Ana uchungu na timu.Ndo kawaida yake huyo jamaa
Hajawafanyia fair wafaransa wenzake.Ni bishoo mmoja aliyewanyima kombe wafaransa wenzake[emoji16]View attachment 1546359
Kivipi yani hawajamsainisha au.Hana timu kwa sasa, ni free agent.
Kama huna akili mbaya mpe bayen 😜😜😜😜Kama una akili nzuri MPE PSG anashinda hii game historian inakwenda kuwekwa
Pole mkuu imekuongoza vibayaMzee mizimu ya kwetu imenambia ufaransa kombe ndo linatua huko
[emoji23]Mambo ya rupia ya mjerumaniMliopo Germany hebu tuthibitishieni kuwa huko kuna timu zinatumia ndumba katika soka au la?
Maana haiwezekani hawa bayern mwanzo mwanzo wanakoswa wao tu tena nafasi za wazi! mwisho wenyewe ndio washindi rejea game zao za karibuni ukianzia ile mechi na barcelona
Mbape na Neymar tatizo utoto mwingi.Mbape fala sana yani pochi la wazi unampa kipa.
Uliona mbali sana.Paris kuna watch party inaendelea. PSG leo wamewaruhusu watu kuingia Parc des Princes kushangilia timu yao. Yaani ni vurugu balaa. Ninachoona mimi wataambukizana corona na kipigo juu,na hizi bendera zao bora wakate vipande mapema ili viwasaidie kufuta machozi.
Hawamtaki umri umemtupa mkonoKivipi yani hawajamsainisha au.
Mkataba wake uliisha na sasa ana miaka 33, PSG wakasema hawatamuongezea mkataba.Kivipi yani hawajamsainisha au.
Uliona mbali sana.
Alichezaga Ac Milan sio napoliMkataba wake uliisha na sasa ana miaka 33, PSG wakasema hawatamuongezea mkataba.
Kwahiyo kabla ya msimu kuisha, jamaa akatangaza kuondoka. Akacheza game yake ya mwisho na mpaka sasa ndio hivyo jamaa ni free agent.
Niliskia tetesi kuwa Napoli wanataka kumrudisha mtu wao.
AC Milan ipi hiyo mkuu?Alichezaga Ac Milan sio napoli
Hivi comman raia wa wapiNdiyo mana nilisema Jana kuwa mchezo wa timu kubwa kama Jana unaamuliwa tu na utumiaji mzuri wa nafasi ,Bayern hawakupata clear chance za maana but walitumia vizur hizohizo finyu walizopata kwa PSG wao walijua muda upo kumbe ndo ivo unayoyoma na ndio sasa utaona umuhimu wa kuwa na natural standing strike wanafaida mno kama kwenye mechi ya Jana MTU aina ya cavani walihitajika sana japokuwa tuchel haoni umuhimu wao, ndo mana wenzao Jana walianza na coman walisoma ramani jinsi ilivo
Mkataba wake uliisha na sasa ana miaka 33, PSG wakasema hawatamuongezea mkataba.
Kwahiyo kabla ya msimu kuisha, jamaa akatangaza kuondoka. Akacheza game yake ya mwisho na mpaka sasa ndio hivyo jamaa ni free agent.
Niliskia tetesi kuwa Napoli wanataka kumrudisha mtu wao.