UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

Kakulia Bayern?halafu na yule Davies
Alphonso Davies huyo ni raia wa Canada. Wazazi wake ni wakimbizi kutoka Africa.
Alisajiliwa na Bayern kutoka timu ya Vancouver Whitecaps ya huko Canada kwa dau dogo tu.

Jamaa wakati anafuatiliwa na mascout wa Bayern, watu walikuwa wanabeza sana kiwango chake, kwamba anaweza asifanye vizuri pale Bayern.

Kilichofuata ni historia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…