UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

Adjustments.JPG
 
Nipo bech la mbele kabisa kibanda umizaa..

Hakuna mazingira ya PSG kushinda hii mechi hata kidogo, narudia tena hakunaaa.
 
Odds za Bayern zimeshuka kutoka 2.05 mpaka 1.98..
Anyways, acha niwawekee mzigo wanangu ili niangalie mpira kwa raha maana siwezi kuiacha pesa ikiondoka hivi hivi
 
Back
Top Bottom