Angalia YouTube manake wanaonyesha hii gamewazee tusaidiane bas link hyo tuchek wote game
Angalia kwa kupitia YouTube. Wanaionyesha bureMwenye link please
Jamaa ni nyau Lina mikono sabaNeuer ni jini [emoji91][emoji91][emoji91]
Google yalla liveWakuu hamna link ya kuchek hii mechi kwenye simu..
tumia app ya live footballWakuu hamna link ya kuchek hii mechi kwenye simu..
Aaah aisee hawa makipa leo wamekutana