Jamani acheni kukariri mambo..hii ni Uefa bhana!It will be a one sided boring finale, japo mimi Liver damu lakini safu ya ulinzi ya vijana wa Clop hua inafanya makosa ya ajabu ajabu sana na hivyo defense inakua highly vulnerable
Na mimi naliona hilo.hii game inaisha first half!
brooh ni kwakuwa wengi hamuangalii game nyingi za madrid la liga..lakini kiukweli real madrid msimu huu imekuwa na safu mbovu ya ulinzi wamefungwa magoli 44...hata liverpool pia kwenye Epl wamefungwa magoli 38..safu za ushambuliaji za timu hizi ni nzuri kwa kweli coz madrid wamefunga goli 94 la liga huku liverpool wakifunga goli 84..nategemea game nzuri sana pale kiev ukizingatia kuwa walimu hawa vijana wanafahamu barabara upungufu na uimara wa timu zao..yamkini tutaweza kushuhudia pambano la kihistoria pale kievIt will be a one sided boring finale, japo mimi Liver damu lakini safu ya ulinzi ya vijana wa Clop hua inafanya makosa ya ajabu ajabu sana na hivyo defense inakua highly vulnerable
Itakuwa tofauti na unavyodhani kiongozi.Hii itakuwa ni fainali moja ya one sided haijawahi tokea in favor of The Kings of Europe.
aangalie asichinjwe yeyeKuna brother wangu shabiki wa liverpool kanitumia kitu hiki kwamba wapo tayari kuua kiumbe.
View attachment 785261
Sent using Jamii Forums mobile app