UCL Final: Tutegemee kuona nini katika fainali ya Madrid Vs Liverpool

UCL Final: Tutegemee kuona nini katika fainali ya Madrid Vs Liverpool

Kuna brother wangu shabiki wa liverpool kanitumia kitu hiki kwamba wapo tayari kuua kiumbe.

download-35.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It will be a one sided boring finale, japo mimi Liver damu lakini safu ya ulinzi ya vijana wa Clop hua inafanya makosa ya ajabu ajabu sana na hivyo defense inakua highly vulnerable
Jamani acheni kukariri mambo..hii ni Uefa bhana!
 
It will be a one sided boring finale, japo mimi Liver damu lakini safu ya ulinzi ya vijana wa Clop hua inafanya makosa ya ajabu ajabu sana na hivyo defense inakua highly vulnerable
brooh ni kwakuwa wengi hamuangalii game nyingi za madrid la liga..lakini kiukweli real madrid msimu huu imekuwa na safu mbovu ya ulinzi wamefungwa magoli 44...hata liverpool pia kwenye Epl wamefungwa magoli 38..safu za ushambuliaji za timu hizi ni nzuri kwa kweli coz madrid wamefunga goli 94 la liga huku liverpool wakifunga goli 84..nategemea game nzuri sana pale kiev ukizingatia kuwa walimu hawa vijana wanafahamu barabara upungufu na uimara wa timu zao..yamkini tutaweza kushuhudia pambano la kihistoria pale kiev
 
Hii game inaenda extratime na loserfool anagongwa na muuaji ni sergio ramos
 
Ronaldo atapata red card mapema sana, sadio mane ataamua mchezo baada ya beki kindakindaki wa wakubebwa fc kufanya kosa la kizembe sana.
NB: game haiendi dk 120
FT: LFC 2 - RM 1
 
Back
Top Bottom